bila hoja wasambaa wazur bhn kwanza tuna asili ya uarabu😂 hamtak au
2026-06-20 08:08:38
34
ASMAA HONEY :
wasambaa mje hapa ndugu zangu😂
2026-06-20 08:01:09
20
harisabduli :
wadigo usifananishe na vitu vya ovyo jm
2026-06-19 18:18:37
21
Batuli Mtoi :
imagine wapo kwny baridi ni wazuri weupe wangekua kwny joto👌
2026-06-20 07:39:22
11
Ibrah Lyotch :
Ndugu yangu Wasambaa n weupe icho ndio kinawabeba ila ukikutana na huyo mdigo alaf awe kachanganya n umombasa flan hv Heeeh kakaa 🙌🙌🙌 Achaaaa we nenda Tangamano j4 na Alhamis, Jmoc Utaona
2026-06-19 23:05:42
13
Sakina Ibrahim :
kila mtuanauzur wake ila wasambaa tumezid
2026-06-20 10:20:33
11
R msomaly ❤️🔥 :
wadigo ndio kiboko ya Tanga mzima😜
2026-06-20 07:20:24
6
Helena Ruwa :
wadigo ☺️☺️☺️☺️
2026-06-19 15:57:36
7
MaRukhaiya :
Wasambaa wazuri ila urembo ndo awajui mdigo kwa urembo MashaAllah
2026-06-20 06:24:47
7
makange :
wasambaa🥰🥰
2026-06-19 15:47:27
5
beloved subira😍 :
wasambaa
2026-06-20 09:21:55
3
myne❤️ :
wasambaa ww🔥🔥
2026-06-20 12:20:02
1
Be asya :
wasambaaa warembo sana pia wana adabu na uvumilivu