@thewindsor_fly: ​🚨 FURSA ZA KAZI NJE YA NCHI 2026! 🚨 ​Ndoto yako ya kufanya kazi na kujenga maisha yako iko hapa! The Windsor Recruitment Agency tunakuletea nafasi za kazi zilizothibitishwa katika sekta mbalimbali. ​Tunatafuta watu wenye sifa kwenye nafasi zifuatazo: 👉 Madereva (Drivers) 👉 Wafanyakazi wa Ndani (House Maids) 👉 Wachomelea Vyuma (Welders) 👉 Wasaidizi wa Ujenzi (Construction Helpers) 👉 Mafundi Rangi (Painters) 👉 Mafundi Tiles (Tilers) 👉 Wafanyakazi wa Usafi (Cleaners) 👉 Wanaoendesha Forklift (Forklift Operators) 👉 Manesi (Nurses) ➕ NA NYINGINEZO NYINGI! ​Hata kama fani yako haipo kwenye list hapo juu, usisite kuwasiliana nasi kwani nafasi ni nyingi sana na sifa tofauti zinahitajika! ​Usipitwe na nafasi hii ya kipekee ya kubadili maisha yako na ya familia yako. Sisi ni daraja lako la uhakika kuelekea mafanikio! ​📩 Unasubiri nini? Wasiliana nasi sasa 📞 +255 713 287 205 📞 +255 713 287 202 📍 Mahali: Tip Top Manzese, Jengo la Usangi House 🏠 #tanzaniantiktok🇹🇿 #job #dubai🇦🇪 #viral

The Windsor Recruitment Co.LTD
The Windsor Recruitment Co.LTD
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 14:12:10 GMT
65124
1880
77
193

Music

Download

Comments

www.mkari.yuzzo
Yuzzo@decorative :
office yeni upo wapi
2026-06-20 12:10:02
0
shadowkitengo
MR.LONELY :
namba shkhe
2026-06-20 04:27:44
0
sheislizzy66
sheisllizy66 :
mm passport ninayo nisaidie
2026-06-20 07:22:36
0
wizrastaa26
🆆︎🅸︎🆉︎🗽𝙼𝙱𝙸𝙻𝙸 𝚂𝙸𝚃𝙰 :
mmi Sina passport ila nata kazi
2026-06-19 20:45:27
2
momtanasha
momtanasha :
Aliefika na akapata kazi aje anipe ushuhuda na mimi nika apply please !! mana nimechoka kutapeliwa
2026-06-20 12:09:21
0
omarytemba3
omarytemba258 :
n mm naitaj
2026-06-20 05:51:06
0
user511011683829
denisi h p rwimo :
ofisini wapi
2026-06-20 07:04:36
0
isiakamm
Icyhacker :
mm nimesomea Electronics&telecommunication, vp nafasi zipo???
2026-06-20 14:29:30
0
lelu479
lelu :
Na Mm nataka
2026-06-19 22:32:22
0
halimat5392
halimat 🌸 :
mbona amjaweka namba sas
2026-06-20 06:20:42
0
malikichamiwa
Maliki Chamiwa :
je elimu??
2026-06-20 03:57:47
0
lovely_say01
Ummy Ajmal &Ahyad collection :
na sisi zanzibar tunahitaji 🥺
2026-06-20 05:20:55
0
neygcute87
neydaqueen😍 :
Mimi nahitaji ajira
2026-06-20 03:34:55
0
thomasmgaya408
Kamily :
mnapatikana wap?
2026-06-20 04:23:22
0
ronaldotruckdriver
Ronaldo Truck driver 🇹🇿 :
Truck driver bado kazi hazijatoka
2026-06-20 09:05:59
0
jumamsumi521
Juma upepo the crean :
me na afya tu na na umri wangu una ruhusu sisi ambao hatujui kiingereza mnatusaidiaje
2026-06-19 22:02:19
0
user511011683829
denisi h p rwimo :
ofisini niwapi
2026-06-20 07:03:22
0
bluegirl745
Blue girl 2004 :
Mimi passport ninayo jmn 😳
2026-06-19 19:21:01
1
meneja.shubadari
🌿Meneja🎃shubadari :
mim natak
2026-06-19 20:27:15
1
lavetta.funpage
lavetta.funpage :
Shilling ngapi😕
2026-06-20 04:50:07
0
user4242924891132
minzy255 :
kweli jamani☺️
2026-06-19 19:52:38
1
user9703206739708
user9703206739708 :
toeni position wapi mtu aziye wapi
2026-06-19 21:13:12
1
user2788127808244
hassan :
fund tiles office wap
2026-06-19 19:32:47
1
sameer.hussein98
Sameer Hussein :
hello asalam aleykum
2026-06-19 18:11:46
1
To see more videos from user @thewindsor_fly, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About