@asnathsalon: ✨ KARIBU ASNATH SALON ✨ Tupo Mwenge, ndani ya jengo lililokuwa Tamal Hotel (sasa Munawara Hostel & Restaurant). 💇♀️ Kusuka staili zote kwa ubora wa hali ya juu 💜rasta ni afro spring toka kiwanda cha rast @darlinghairtanzania no 133 💄 Makeup za aina zote – kaa mrembo kila wakati ⚡ Hakuna foleni – ukifika unasukwa moja kwa moja 🏡 Tunatoa pia huduma ya nyumbani 📞 Wasiliana nasi: 0714 619 461 🌸 Njoo ujipendeze, uangaze na kujiamini zaidi! #AsnathSalon #Mwenge #BeautyTZ #MakeupTZ #BraidsTZ