kama sio Ronaldo me hata protugal ningekuwa siijuh😂😂
2026-06-19 16:42:54
1183
@Kyle :
shida nyie mnaleta historia kwenye current moment bro
2026-06-19 18:53:55
410
user :
yupo sawa ronaldo kaisha
2026-06-19 16:28:11
324
MAN OF STEEL :
Yani bila Ronaldo Al Nasir Nisinge ijua kabisa
2026-06-19 17:28:17
480
Benedict4-2 :
Mashabiki wa Ronaldo hamnaga hakir Munaleta historia badala ya mpira
2026-06-19 20:30:37
72
@alvarez_47 :
punguza ushabiki bro , kwa sasa Ronaldo ni mchezaji wa kawaida, kwenye timu ako una Alvarez na Ronaldo, anaanza nani
2026-06-19 21:27:51
26
abuu mussa :
Ata ganacho pia alishawai kumkataa Messi na akamchagua Ronaldo 🙆
2026-06-20 10:53:37
45
uncle philly 👣 :
elewa neno "kwa sasa"😁
2026-06-21 10:12:31
14
KlNGAZ🛑 :
Ronaldo wa kawaida sana kaka kwanza ni mbinafsi san siku zote anajipigania yeye sio team
2026-06-20 08:51:44
20
🌀Adesh🌀 :
bro when Ronaldo retires from Portugal 🇵🇹 our contract with Portugal is over 🎯🙌🏽🐐🐐
2026-06-20 20:09:59
6
quando rondo :
shida mashabik wa Ronaldo inambid mkubali kuwa Ronaldo amechoka saiv
2026-06-19 17:05:43
22
BerryG :
Kwani Lazima kila Mtu amkubali Ronaldo?
2026-06-22 14:59:19
7
meddydulla17 :
kweli neves kaongea point
2026-06-19 21:10:25
15
panenca master :
kwa sasa ni wakawaida
2026-06-19 21:39:51
7
Mgisha :
bilaCR7mpira usingekuwepo
2026-06-19 21:25:45
8
Pain is our path :
Sasa complain za nini kumbe kasema kwasasahivi ndio wakawaida, hiyo ndio fact japo ni miongoni mwa the top footballers kwenye dunia.
Sasa Ronaldo prime na wa sasa yupi 🔥🔥
2026-06-19 21:39:07
10
VANNY 🏍__𝐌𝐚𝐬𝐭𝐢𝐜𝐤𝐞𝐫👑 :
ronaldo yupo kwenye noti ya portugal
2026-06-23 13:49:24
6
erick :
yupo sahihi
2026-06-19 16:40:34
26
⚔️nt🍒h💤 :
Sasa wewe Na Neves Nan anajua Ronaldo vizuri
2026-06-20 05:55:46
16
Elvis Presley 🥶🤑 :
anaongea ukweli
2026-06-19 16:48:03
27
OISSO clan :
acha kuwa serious wew Ronald wakawaida brooo
2026-06-19 20:52:35
7
@JAH~MAL :
Ronald mwenyew anamuheshimu Messi. ile kiumbe iache Broo
2026-06-19 20:49:49
11
Omahkida :
ndio maana kasema kwa sasa ivi
2026-06-19 20:24:36
8
To see more videos from user @sportland_tz, please go to the Tikwm
homepage.