@mbtvkenya: Usichoke kuomba msamaha. Allah hatachoka kukusamehe. إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ التَّوَّابِينَ "Hakika Allah anawapenda wenye kutubu mara kwa mara." Dhambi zako zina mwisho pale unaporudi kwa Mola wako. 🤍 #Tawba #Istighfar #RejeaKwaAllah #mbtvkenya