daaaaa mungu msaidie baba yangu azeek vizuri asiwe kama uyu genge
2026-06-20 10:22:20
82
Ateh :
Mzee huu ni uvivu tu wakulima
2026-06-24 14:41:02
33
LUX BOY M'T :
wende kalime mzee wangu 😅
2026-06-20 09:58:04
14
fahmido jr :
unajuwa nacheka kw nn
2026-07-21 22:01:55
3
boniphacefebruary :
tulio kimbilia kwenye comment tujuane
2026-07-21 19:16:41
4
Ekambi :
ayo ni matumizi mabovu ya uzee
2026-06-26 14:47:24
10
K'E'N'Y' 'D'E'E'7 :
duuh kizzpiano umuoni mzeee au
2026-06-20 16:46:14
8
Rashidi jr :
kam unaaminiih kipaji kipo acha like apah
2026-06-20 12:20:07
12
@king sela offical :
una maliza dakika90 vibaya babu yangu
2026-07-18 17:11:02
1
official _husskizz👑 :
anaekubariana namzeee like apa
2026-06-30 09:24:59
5
XFMTPOC. :
bor uchukulw n mung
2026-07-19 14:15:31
1
Lil dady :
Mzeee tafuta mswala uswali uk usije utaach ndala utaenda mbio🤙🤙
2026-07-08 15:13:03
3
kelvn official :
karibu babu gengeni😁
2026-06-25 04:42:19
5
✨️JONGO🍀♤ :
@sule boy tz:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-06-25 11:26:03
8
R JAY HB🤴🏿 :
vija mlio post uyo babu mungu ana waona
2026-06-21 17:11:30
7
da husna :
sema duuuh , nisiongeee sanaaa 🙏
2026-06-24 14:41:07
6
killer stopper :
mzee unajua sana ndani ya miaka 10 baadae nakuona mbali sana.
2026-06-24 16:59:08
5
27💫💫💫fuck sex :
af w mzeee kaleee family
2026-07-25 20:19:36
2
kevooo :
nashindwa kuwaelewaaa
2026-06-29 17:51:54
3
Daniel tz :
nenda kacheze bolingo nangai tu😁
2026-07-18 20:15:19
2
wizzyutoi og. :
10/10
2026-06-24 15:55:37
1
chokwi boy :
unayawez ten sana
2026-06-26 09:26:32
2
smartboy :
kweli ata me nakuona mbali
2026-06-29 13:32:34
2
mtanzania :
uuze dagaa au
2026-06-25 16:14:13
3
To see more videos from user @mselababu45, please go to the Tikwm
homepage.