nakupenda sana heche mungu akulinde sanaaaaaaaaaaaaaaaa✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-20 12:50:55
10
him self :
huyu hehe abajua sanaaaa
2026-07-11 18:58:32
2
B tozzy shoes 0655177284 :
one love itawaleze
2026-06-24 10:54:54
1
Juma Elias :
Mimi kama Juma najiskiaga vibaya sana ety kila somo lazina juma ahusike inanikelaga sana afu mbaya zaid wananiweka kwenye mambo ya kijinga sana, naumiaga sana muheshimiwa.
2026-08-08 05:18:00
0
kabashi one :
ok
2026-07-28 04:03:55
0
January Gerry January :
lra heche ccm walikukosea nn
2026-07-19 19:57:24
2
Sapianus Buchambona :
Mungu awalinde CHADEMA
2026-06-23 09:30:05
4
eriyasi kamote :
I say this, may God foretell us in advance.
2026-06-28 07:51:44
0
Diwani :
Mimi kama kaka yake Juma nimejisikia vibaya
2026-07-23 16:33:01
0
laizare3 :
Tunahitaji maendeleo a leader
2026-06-20 05:12:30
2
Mr smart :
Heche Heche Heche nimekuita mara tatu ww ni noma
2026-07-20 19:31:46
1
Mahaya :
lile lilikuwa bunge hata kuskiliza lilikuwa na mvuto,ninamda sana sijaangalia bunge😁😁😁.
2026-07-24 06:35:19
1
Damasi Kyembela :
lazima alindwe HECHE
2026-07-10 15:05:08
1
Simbasport clàb :
Nimejikuta nacheka peke yangu
2026-06-26 15:29:15
1
Diwani :
Yani huyu ni mmoja tu, akitoka na yule jela. Mbona kazi wanayo
2026-07-23 16:31:04
0
2020 :
hiki chama nichaguo la mungu viongozi wake wana madini yakutosha vichwani mwao🙏🙏🙏🤣