@uswazi_food:

MARIAM USWAZI
MARIAM USWAZI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 21:04:42 GMT
84686
5851
288
377

Music

Download

Comments

moms_son2
It’s me💦❤️🦂 :
Mimi nmejifunza kutoka kwa baba angu mzazi itoshe kusema kwamba mpak leo hii nimeogopa kujitoa km wazaz wangu walivojitoa kwa wengine, watu hawana shukran anguko lako ni kicheko kwao🥹🙌🙌🙌
2026-06-20 06:43:12
136
itz_pretty_nina
itz pretty nina 😍 :
wala Tunzo ya kuteseka amna 🥺🥺
2026-06-20 07:47:09
78
.didah32
💜kazija :
like ✌️please nicome niiskize baadae
2026-06-20 19:39:53
2
bettykarume6
Betty :
Ndio maana nilishapunguza wema mimi
2026-06-20 05:25:38
23
mwajey940
mwajey :
kwakweli dada wema usizid uwezo
2026-06-20 07:03:52
49
ubeyser
issaathumani0 :
lakini dada Maryam kumbuka kuna tuzo ya Allah huumpa mtu mwema apa duniani na kesho mbele yake.ila unacho kisema kipo sahihi sana ukweli mtupu.
2026-06-20 08:08:05
17
hashab09
Hashab🕋 :
hakuna Duniani ila ipo Kwa Mola wako
2026-06-20 07:56:25
18
adrophinaka
adrophinaka :
mhh!Dunia uwanja wa Vita, nimechelewa kuyajua ila nimeelewa unasaidia mtu kummvusha akishavuka anavinja daraja
2026-06-20 04:40:10
26
ednastoretz
Edna Gabriel :
Mwa kweli Akuna nimekuwa Mwema sana Lk nimelipwa Mambaya sana
2026-06-19 23:17:10
20
user5284815393054
user5284815393054 :
kabisa nikweli
2026-06-20 05:11:29
7
khadija.kmwaipaya
Khadija Kmwaipaya :
kweli kabisaa
2026-06-20 04:21:56
6
happiness.mkenda
Happi bee🧚‍♀️ :
umenena mwali wangu🥰🥰
2026-06-20 07:43:01
2
45beaty
Vee😘😘 :
nimekupenda sana we dada leo umeongea sana
2026-06-20 06:16:38
10
lucy.alfrd
Lucy Alfrd :
kweli kabisa
2026-06-20 00:21:33
7
veronica.maganga
Veronica maganga :
watu tuna maumivu tumelia sana ila kwa sasa inatosha🥹
2026-06-20 09:57:12
5
lastborn22592
Lastborn 🦋 :
Well said
2026-06-20 06:20:22
2
vavajoly2
Mjuku wa Mzee lukonga❤️❤️ :
Big yes 🙌 🥰🥰🥰🥰
2026-06-20 11:46:34
0
rahmazabika
rahma zabika :
exactly 💯✅
2026-06-20 05:50:15
1
irenehenry653
kipepeo1 :
❣️❣️❣️❣️❣️Barikiwa
2026-06-20 02:35:54
5
miliam.paul
Miliam Paul :
dah😭 umesema kitu cha maana sana pia umenikumbusha mbali😭
2026-06-19 21:44:58
28
muustyle_tz
muustyle_tz :
Katika siku umeongea Maryam leo umesema na umemala🙌🏿
2026-06-20 06:35:50
11
janethlyimo233
Janeth Lyimo :
Mariam umenifanya nilie sanaaaaa umenitoneshaa kidonda changu lakini nitakutumia voice note yangu natamani niandike kitabu
2026-06-20 04:54:37
12
nailaalphat5
NailathAlphat Collection 🎀 :
mm Toka nimejielewa mm sio wemaa🥰
2026-06-20 04:57:57
5
neyjux53
Cute ney🩷🍫 :
10/10 nalipa chap
2026-06-20 19:40:07
0
la.prestige_rides
The Empire :
Watu wema tuzo yetu ipo mbinguni❤️
2026-06-20 18:14:19
4
To see more videos from user @uswazi_food, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About