@vce_khan: #fyppppppppppppppppppppppp #foryou #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿

₭Ⱨ₳₦ 👑
₭Ⱨ₳₦ 👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 21:31:10 GMT
6825
347
51
19

Music

Download

Comments

delly20026
DCHRISS 😉 1212 :
jina la kwaya please 🙏🙏
2026-07-11 10:42:00
2
elishazakaria429
park.d🇹🇿 :
wow unajibu Kila comment🔥🔥
2026-07-12 06:00:27
1
user984322342379
Lizzy❤️ :
nilichemsha maji ya moto ya kuoga na nikayasahau nikaenda kuoga maji ya baridi 🙆
2026-06-20 07:00:40
9
righton..9
Righton.. :
2026-07-04 04:34:39
1
nazminaactress
❤️Nazmina🦋🦋 :
Nilitoka home nakufuri nikaacha ufunguo😂
2026-06-20 18:34:03
5
berry_bussiness
Queen_Berry🥰 :
nilivua viatu kabla ya kuingia city mall😒😒
2026-06-20 15:46:14
2
merry.ndamka
mah♥️❤️ :
niliingia kwa choo nikaacha mlango wazi😁😁😁
2026-06-19 23:30:50
4
jeddymastory1
jeddy mastory :
nilitup kopo la choon kweny sinki badal ya kweny ndoo😂😂😂
2026-06-20 16:27:29
2
geegrizzle7
geegrizzle🧚‍♂️🕊 :
badala ya kuingia ndani kwetu nkaingy kwa jirani
2026-06-20 20:40:03
2
businesser0
miss marketer🫧🫧 :
me nilimuuliza mama kwani kaka ako yuko wapi ambae ni baba😳😳😳😳
2026-06-20 09:20:05
3
sahra_success
sahra_success :
mteja aliulizaa chajii me nikamjibu Sina hel yakulaa
2026-06-20 11:28:00
3
anitha.bray
Anitha Bray :
nimefungia funguo ndani baada ya kubana kufuli ni toke ndo nakumbuka 😅
2026-06-20 06:33:41
2
nayan_cutie
💖💕nayan☘️🍀 :
...daaah m ni nlichota maji ninywe nkanawia usoo😁
2026-06-20 19:58:21
2
divine_scents5
Divine Scents😇 :
nilifunga mlango nikaacha funguo kwenye kitasa,nikaondoka zangu😅💔
2026-06-20 20:18:14
2
mr.vena2
Mr vena :
Niliamka asubuhi nikavaa nguo za shule nikaanza kutafta soksi wakati niko nazo mkononi
2026-07-12 04:44:08
1
unieeuny2
Euniee😜 :
nilivua viatu akat naingia dukani
2026-06-23 19:26:48
2
mwajuma7731
BABA BRAYAN :
nilishilia simu mkononi nikasahau
2026-07-12 05:12:02
0
jacksonsheyo
잭슨J.A.C.K.S.O.N :
Nilinunua siagi nikafulia nguo
2026-07-12 03:26:02
1
simba_nolimit
SIMBAH🦁💀 :
Wenge😂
2026-07-08 19:18:44
1
prettylioness601
@pretty- lioness :
nilisahau simu ndani na kwenda kazini
2026-07-12 20:09:14
1
smartkid_official143
smartkid_official143 :
Nilikunywa soda bila kutoa kisoda… wakat mwingine baada ya kupeleka mdomon napeleka puani…
2026-07-13 17:17:49
0
binti.omary1
Binti Omary :
mume wangu aling,ata sabuni muda tunaoga😂
2026-06-20 18:17:13
1
norah.malliwa..06
Norah..Malliwa :
😂😂😂
2026-06-20 14:46:15
1
To see more videos from user @vce_khan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About