@shekheamissi: 1, TAFUTA DAWA INAITWA MGOMELO: Hii dawa Kazi yake kubwa ni kufungua mambo Yote yaliyoshindikana vifungo vya kichawi vya majini vyote vinatoweka ​2, TAFUTA DAWA INAITWA MSIVI Hii ni Dawa maalum kwa ajili ya kufungua vifungo vyote vinavyotokana na mizimu ya ukoo au familia iliyokufunga kwa chuki binafsi ​3, TAFUTA DAWA INAITWA MDAULA: Hii ni Dawa ya asili inayovua na kuondoa kila aina ya kifungo ulichowekewa mwilini. ​4, TAFUTA DAWA INAITWA MGALULA: Hii Kazi yake ni kugeuza na kupindua kila mabaya au vifungo ulivyofungwa kurudi kwa aliye kufunga ili uwe huru MATUMIZI YAKE 👇👇 Chukua dawa hizi nne (Mgomelo, MSIVI Mdaula, na Mgalula), changanya pamoja kisha chemsha kwenye maji vizuri. Yakishachemka yaache yapoe kidogo yawe ya uvuguvugu kisha nenda kaoge asubuhi na mapema Saa 11 huku ukinuia kujifungua. Kila kifungo ulichofungwa mtoni kaburini, au nchi za mbali dawa hazi urusuwi kuogea chooni jinsi ya kuzipata nenda duka la asiri mtajie majina za dawa izo tutapewa kama unazihitaji kutoka kwangu pia ntakuagizia au nareta mwenyewe na tiba nakufanyia kwa mawasiliano zaidi +255 695830 389#tiktoktanzania🇹🇿tiktokkenya🇰🇪 #zambiantiktok🇿🇲 #congolaise🇨🇩🇨🇬 #malawitiktok🇲🇼 #NguvuYaAsiliElimuYaNyota

shekhe amissi
shekhe amissi
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 03:27:16 GMT
12517
408
30
72

Music

Download

Comments

user9726024781663
hajra amiri :
Kumi na 11 jioni au alfajiri
2026-07-04 18:53:35
1
sempa_51
sempa :
hongera kwa kutujali hatuna kitu cha kklipa zaid ya kukulike
2026-06-20 08:51:29
4
pdg4064
PDG :
unaoga mara ngapi kwa siku na kwa mda ganiii
2026-06-20 08:34:19
2
allysalim55
mbambady :
bafuni je
2026-07-07 20:45:31
0
user331257581617
user331257581617 :
asante
2026-06-20 19:31:17
2
user4753884849523
bjb :
Asante kipenzi lakni inatumikaje??
2026-06-24 12:42:14
0
user73356113680622
khadija :
unaoga ahsubui tu au
2026-06-20 17:08:15
2
yasinizuber
yasini zuberi :
asante unaoga siku ngap
2026-06-20 14:57:56
1
zuu.omary55
zuu omary :
mm nipo
2026-06-22 19:46:17
0
luvcartel
GRAHAME 1971 :
sheikh nawe,a kupata hz dawa kutoka kwako tafadhali?
2026-06-30 08:07:19
0
marshall.popote
uant mouna :
na je kama mambo yangu hayaendi kwa maana Sina uhakika na vifungo naweza tumia hizo dawa
2026-07-01 19:42:38
1
tatumnigerwgmail
Tatu mnigeria Wa Tz❣️ :
unaoga kwa cku ngapi
2026-06-23 03:26:12
0
user8810807434214
mwajabu,yassini :
unazichanganya,zote
2026-06-23 18:47:14
0
chassy430
Mamdogo Odo :
ww uko wapi
2026-06-26 20:28:44
0
happinessmakono66
Happiness Makono :
nikizihitaji nazipataje
2026-07-02 11:41:57
0
To see more videos from user @shekheamissi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About