@kobbie_thinker: Ninashindwa kuwaelewa 😅😅.. Wakati CR7 anafunga Hat-Trick Dhidi ya Spain, mbuzi wenu kaenda kuwafunga Algeria 😂🤌🏽.. #covhls #creatorsearchinsights

CoV ThInKeR
CoV ThInKeR
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 05:41:56 GMT
25212
1564
228
53

Music

Download

Comments

mnyama_tyson
It's Tyson :
Unachanganya mambo..hat trick inayozungumziwa hapo ni WORLD CUP sio EURO LEAGUE
2026-06-20 11:25:48
29
anoldrwahinga
Robinho :
hyo ilikuwa Euro kjana sio world cup
2026-06-20 08:06:36
13
xarpong_mgwan
♤xarpong_mgwan🍁 :
lakin messiah han penalty kiongoz🤣🤣
2026-06-20 13:20:36
7
sidenenga
𝗦𝗜𝗗𝗘𝗼𝗴 :
mashabiki wa Ronaldo wanachekesha kama mchezaji wao iyo sio kombe la dunia🤣🤣🤣
2026-06-20 12:13:51
16
devotaline.mayoko
Devotaline Mayokolo :
tunataka hat trick ya world cup siyo ya ndondo
2026-06-20 18:32:56
0
sultameck.official
sultameck official :
tena CR7 aliwapiga Spain halaf yey kawapiga Algeria....... wao hawaoni hiyo difference
2026-06-20 10:31:15
1
kevin_kunta
Kevin Kunta🎮 :
Messi wa miaka 38 ana hatari zaidi kuliko ronaldo wa miaka 30🙌🏼bishana na ukuta.
2026-06-20 14:37:50
6
air_dpm.01
AIR_DPM.01 :
sasa malalamiko ya nini mkuu😁😁😁,hatrick moja ya messi timu nzima mnaanza kutafuta mchawi nani😁😁,mara bruno mara joao neves😁😁😁
2026-06-20 13:08:58
4
mudicase_2
mudicase⭐🪰 :
mtabweka sana ila joao neves asikilizwe 😂😂
2026-06-20 11:33:28
5
selestinilaurenti
selestinilaurenti :
Kuna baadh ya mashabik wa messi awajui history za ronaldo
2026-06-20 12:17:57
1
wamgodi
wamgodi :
tena mwanaume ajawafunga vibondee💪cr7
2026-06-20 06:53:07
6
don_nicky23
Nicky :
hyo hat rick mbona kama n ya EURO😂😂 sisi tunataka ya WORLD CUP🤣
2026-06-20 22:14:13
0
user7593043421441
charles mkude :
kwanza kafunga taifa kubwa duniani
2026-06-20 07:08:30
1
michael.jonathan255
michael jonathan :
ronald aliwafunga mabeki wagumu kina Ramosi wa spain uyu andunje kafunga beki gani mgumu timu yote unga aliyoifunga
2026-06-20 15:56:27
0
ndingalaa
ndingala :
alipe na kuchukua kombe la dunia sasa
2026-06-20 07:20:06
3
al_basary0
𝙈𝙞𝙡𝙡𝙯 🍀 :
kaka mm nimeongea sana mpaka hasira
2026-06-20 07:05:41
1
omary_katenga
Ommy jr :
Hat trick ya leo messi haina penalti ni open play 😃😃😃 kaka
2026-06-20 13:33:50
1
chusse.massai
Chusse massai :
bad idea
2026-06-20 20:12:49
0
davincy666
DaVincy :
hiyoo ni Euro kwani messi anashiriki euro angalia mashindano yanayowakutanisha wote kwa pamojaa Acha utahiraa basi🤣🤣
2026-06-20 08:14:13
1
moseby66
Moseboy :
kwani umeona aliyopga Messi Kuna goli la penalty
2026-06-20 10:44:48
2
bakidii03
BAKIDII_03⛎ :
messi hajapata penalti
2026-06-20 07:20:07
3
barakamwakitu
Mwakitu286 :
okay tunampa Ronaldo miaka 8 alipe hat trick ya uzeen mwisho ni 2034
2026-06-20 13:15:01
2
goated1505
~Goated :
😂Aya namba Karne alipe hii
2026-06-20 13:15:49
4
hassanmade95
Made💪💪💪 :
Za penalty
2026-06-20 11:00:12
3
harrybarack459
Silent blade 🗡️⚔️ :
🥋🥋⚔️
2026-06-20 12:20:24
5
To see more videos from user @kobbie_thinker, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About