Ya rabbi tusamehe madhambi yetu ya siri na dhahiri tunakuja kwako na tunatubia ya rabbi 🤲🤲🤲
2026-06-20 18:37:17
1
YA~SSIN YA~SSIN :
ya allah tujaalie mwisho mwema ya allah wape nuru ndugu zetu walo tangulia mbele za khaki. wajaalie wape afya njema walokua mahospitalini ya allah ya kalimu tupe wepesi kila jambo lililokua ngumu liwe lepesi wajaalie wale wote wanao jisahau kufanya mema na wanafanya shari na uwajaalie wazazi wetu wape umri mrefu na wale walotanguliwa na baba au mama basi wabariki wape nuru inshaallah ALLAH hamtupi mja wake ispokua si wenyewe ndio tunajisahau dunia inatudanganya EWe ndugu yangu tumcheni ALLAH 🤲🤲
2026-06-20 17:45:25
0
mahiyuz :
ya Allah tusamehe sisi waja wako
2026-06-20 16:45:44
0
Official Rutto :
aamin
2026-06-20 16:37:22
0
Nadinetz :
mungu naomba nisamehe
2026-06-20 11:44:52
0
Albam Aboubakar :
Nastaghfiru llaah,Nastaghfiru llaah min kulli dhanbi tubnaa ila llaah !.
2026-06-20 17:55:49
0
Nadinetz :
Astaghfirullah
2026-06-20 11:44:39
0
Muhsinpresident :
hichi kitabu kinaitwaje
2026-06-20 19:08:37
0
To see more videos from user @nyiradi_tv, please go to the Tikwm
homepage.