Mwanza akuna hela bhna tuseme ukweli mpaka nimeama na ni nyumbani 😂😂
2026-06-20 18:07:12
2
🍒cherie-osborn :
duka la yeboyeboo😂😂😂😂🤣uuwiiiii
2026-06-20 13:01:15
3
!?CALL_ ME_ DEE🌸🦋 :
Mala ooh wanaume wa mwanza wanahudumia nyiee wako wapii jmnii😂😂
2026-06-20 14:05:27
7
Hopeteacy Gibson :
Bora uwaambie maana mabasi yote ya kuja mwanza na geita saivi hamna nafasi mpaka wiki ndo unapata ticket.....
2026-06-20 11:39:54
6
Setty_Marketing🤳 :
NJOOO UCHIMBEEE😂😂😂😂😂
2026-06-20 07:11:11
7
fredymitumba :
ooh nasikia Kahama kuna hela
2026-06-20 13:34:18
5
alfamapunda@675 :
Watu wa Mwanza wakiwasikia watu wa Dar wanasema mwanza kuna hela🙃
2026-06-20 10:51:51
12
MsAgness♐️ :
Waje tu watashaa😂😂wazukaaa🥺😂😂
2026-06-20 13:21:06
0
Real ElMaNamber :
shida watu wanashindwa kutofautisha mwanza na kanda ya ziwa , Ukisema kanda ya ziwa kuna madini hapo saw, ila mwanza kama mwanza cio mkoa wa madini ila wachimba madini wengi wao wanaishi mwanza 😃😃
2026-06-20 12:44:07
6
An🔥 :
waache waje geita bana Hela zipo nje nje
2026-06-20 11:16:57
3
it's Julius :
Uchoyo tu acha watu waje kuchimba Madini yaliletwa na mungu😂😂
2026-06-20 13:01:03
3
Sarah 🇹🇿🇿🇲 :
njoo tukutane Singida
2026-06-20 13:02:39
1
ser.name28 :
kwa kweli hizo harusi zinawachanganya waje watupeleke tukachimbe
2026-06-20 11:42:25
2
totozury01 :
Baba unalalamika Upo kwenye gari 😂😂😂aaaah mwanza kuna hela deal za milioni mia200 😂ah Nakuja
2026-06-20 12:28:12
2
rty :
naomba kuuliza mkoa wa mwanza kuna madini wanachimba? ni wapi?
2026-06-20 11:20:32
0
mambotek.electronics :
😂😂😂 Nl
2026-06-20 11:25:00
0
#critniller💦@ :
kaka mzuri utakauka mate jamn😂😂
2026-06-20 10:45:11
4
dinno master :
umesahau broo samaki ipo hela balaa
2026-06-20 13:18:49
0
cute limah💖💝 :
Achaga uchoyo😂
2026-06-20 12:58:23
0
To see more videos from user @mwanza_phonestore, please go to the Tikwm
homepage.