MUNGU nipe uhai na afya njema nipambane kwa ajili ya wanangu mpaka wafikie umri wa kujitegemea wenyewe aisee
2026-06-20 18:48:57
8
Alex_classicbike :
sas huyu alikuwa anafanya kazi gani mbn mdogo
2026-06-20 18:06:11
15
Nasma Rahimu :
ila mabos mnajiona mna pesa sana eeeh wakati Mungu nd amewap ili mzitumie vizur kwa masilahi.ila nyie mnaamua kumgeuka Mungu kuhus neema alizowapa .Mung yupo pamoja nasi one day yes inshaallah Mungu tunakuomba na sisi utufungulie ridhik kwa uwez wako yaaAllah
2026-06-20 12:32:05
14
rey :
Mejikuta nalia wallah 😭😭
2026-06-20 17:22:41
5
KIUMBE ADIMU🤏🤏🤔 :
Mwenyezi mungu sikuombi kikubwa nakuomba unipe t kidogo cha kutunzia wanangu na kuwasaidia watu ambao wana changamoto tumbo la uchungu lime niuma kama mwana mkee walahi 🤝😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
2026-06-20 11:22:08
11
Ummu Swabri backup :
😭😭😭😭😭😭😭 aangaliwe pia sijekuwa kamlawiti pia
2026-06-20 19:20:50
14
To see more videos from user @rajmoo6, please go to the Tikwm
homepage.