@muafrikamweusi.no.6: Technomancy The ability to directly manipulate or "code" technology using magic. Think of it as a mage casting spells on a microchip......
Ni uchawi afu tunaambiwa ni tecknology🤣, simply teckonology ni uchawi.
2026-06-20 17:15:42
3
salvador _26 :
Wachawii aisee😅😂😂🤣
2026-06-20 22:43:45
3
Hekima King'ima :
mtu akifunga hatrick anapewa huo mpira?
2026-06-25 18:01:12
2
p Diddy :
sio mpira tu we fikiria hata hizi simu na mambo mengi yanayoitwa technology ni ushirikikina umebadilishwa label!
2026-06-22 09:27:42
2
Masunga Daniel :
mbona wanaenda kuangalia VAR kuangalia off side
2026-06-25 08:27:59
1
saidady :
yan uo mpira una vifaa vingap mbona sielew
2026-06-20 14:39:49
2
Allein 👽 :
nilifatalia Ile doctor stang
hiv kutoka ndani ya mwili inawezekana ?? na ukitoka haina madhara Kam ukidhurika katika ulimwengu wa roho
2026-06-20 08:48:04
1
method tossi :
na kuna moja niliiona nazan kwenye mchezo wa man city mtu yupo live ila alianza kushangilia goli kabla mpira aujapigwa
2026-06-20 08:39:04
1
peace melod :
nakubali kaka
2026-06-26 17:27:05
0
Sir Edwin. :
vitu vya kawaida kabisa, unaunganisha Bluetooth tu.
2026-06-23 21:49:23
1
Haji majeshi :
na Alama ya ushoga ipo
2026-06-22 11:27:39
1
jackysohn :
daaaah!!!! usingizi umekata saa 9am 25/06 nimeona kitu kwenye game hizi sahv wanaita FOX hii nimeiwaza nikagundua huu mi ufreemaso FOX inahisiana na 666 F=6, O ipo nafasi ya 15=6 na X ipo nafasi ya 24=6, ebu broo zungumzia hii nipate madini zaidi, kuna vitu navipata taratiibu taratibu
2026-06-25 02:48:01
1
To see more videos from user @muafrikamweusi.no.6, please go to the Tikwm
homepage.