@iam_hasheem: 🎮🔥 UJUMBE KWA GAMERS NA FANS WOTE 🔥🎮 Leo unapitia mambo magumu, lakini kesho ni fumbo kubwa sana. Usichoke kupambana, huwezi kujua Mungu amekupangia nini. Maisha ni magumu, yanachanganya na wakati mwingine yanakera, lakini kwa imani ya Mungu mabadiliko yatakuja na sote tutashinda. 🙏🏼❤️ Somadian amefanya kitu ambacho ni mfano wa kuigwa kwa baadhi ya vijana wadogo. Hili liwe funzo kwa wengi na si sababu ya chuki. 💯 Pesa ni kitu kinachotafutwa na kila mtu, lakini mwanangu, umeonyesha mfano mzuri wa kutupa chachu na kuwafanya wengine waone jinsi ya kufanya maamuzi sahihi wanapozipata pesa. Kipindi cha ujenzi kilikuwa kigumu, pesa nyingi zilienda huko, lakini leo umemaliza na tayari umepata kitu chako cha kudumu. Hapo watakula mpaka vitukuu. 🏡✨ Mimi sikupingi, sijawahi kukupinga, na sitakuja kukupinga. Wewe ni familia yangu. ❤️🤝 Mungu akuepushe na watu wenye macho ya husuda, na atuepushe pia sisi watu wako wa karibu tusije kukutazama kwa husuda. Sisi ni binadamu, wakati mwingine tunaweza kubadilika, lakini Mungu anusuru hilo tusije kuwekeana chuki. 🤲🏽 Nakuombea Mungu akuongezee zaidi ya hapo. Endelea kutupa chachu na kutuonyesha kwamba kwa juhudi, uvumilivu na maamuzi sahihi, kila kitu kinawezekana. 🙏🏼🔥 Popote penye changamoto sisi tupo na wewe simu 1 tu 🌟 WAKATI UJAO KWAKO NI BORA ZAIDI KULIKO ULIOPITA. 🌟 #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp @SOMADIAN-NUNEZ~🇹🇿TZ ONE. @Lastborn world gaming🦂 @PANYA BOSS🎮🐭
HASHEEM
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 07:52:42 GMT
Music
Download
Comments
Nauriya Soud :
somwwma
2026-07-11 06:38:17
0
keem :
one of the best motivation ever wajina...
2026-06-20 16:56:07
7
Monster TZ one :
2026-06-21 19:14:17
4
PANYA BOSS🎮🐭 :
fam kubwa🔥🔥🔥
2026-06-20 07:54:16
2
Lastborn world gaming🦂 :
PRESIDENT OF GAMER TZ🫡😎
2026-06-20 10:31:17
6
Yusuf jr🤲🍁 :
tunawakubali fam
2026-06-20 10:05:46
5
Moran Mwapetz :
Respect bro.✊🏽🫡
2026-06-22 18:57:23
0
Jsquid001pq :
yatakabrii Ismail yatakabrii ishaaaaraah 🥰🥰🥰
2026-06-26 14:40:20
0
👑Fyisal tozzy4️⃣5️⃣🌍🤝 :
nakubali
2026-06-30 18:44:47
0
ŽØMƁĮĘ🧟♂️ :
naaam
2026-07-02 17:20:54
0
storm chaser :
Respect bro. Wakati ujao utakua bora zaid 🙏
2026-06-22 13:33:12
1
45 Spallow :
iyo leo iyoooh
me mwema
2026-07-02 06:17:51
0
messi :
nakubal
2026-06-30 11:37:05
0
MASITORI........? :
nakubali sana
2026-06-21 18:51:10
2
lodyz :
madogo zangu , mambo zenu
2026-06-21 12:54:25
0
Fula strong tz,, :
umeua sana kaka
2026-07-11 11:27:57
0
last krim 🥜🍼 :
Paris hatar mkal
2026-06-21 14:08:53
0
nadiljr :
Hans boys
2026-06-22 13:15:31
0
LAST BORN 😅🤣 :
Leo kak umeongea fact
2026-07-11 09:33:43
1
☘️Dïhèñgà craiz🍃✨ :
s26 ultra macho ya ngamia mita 1400
UBOO NEW MODEL
2026-06-20 08:01:03
3
G.kiddy :
vizur🤣
2026-07-03 13:31:33
0
Jonson 45🫵🫵 :
tuombe mwisho mwema t kumamak
2026-06-29 07:25:02
0
To see more videos from user @iam_hasheem, please go to the Tikwm
homepage.