@drmillanzi: ✅ Osha uso mara mbili kwa siku kwa sabuni laini inayofaa ngozi ya mafuta. ✅ Tumia maji ya uvuguvugu badala ya maji ya moto ili kuepuka kuchochea uzalishaji wa mafuta mengi. ✅ Pakaa krimu nyepesi ya kulainisha ngozi (moisturizer) isiyoziba vinyweleo. ✅ Tumia kinga ya jua (sunscreen) kila siku unapokuwa nje. ✅ Kula vyakula vyenye matunda na mboga za majani kwa wingi. ✅ Kunywa maji ya kutosha kila siku kusaidia afya ya ngozi. ✅ Epuka kushika uso mara kwa mara kwa mikono michafu. ✅ Punguza matumizi ya vyakula vyenye sukari nyingi na mafuta mengi. ✅ Pata usingizi wa kutosha kila usiku. ✅ Kwa huduma ya nje ya ngozi ya mafuta na madoa, tumia Anatic kulingana na maelekezo. Unasumbuliwa na uso wa mafuta, chunusi au madoa usoni? Andika "NISAIDIE" nikusaidie.#ForYorPage #VideoTrending #TiktokViral #DakSpot #Fypppppppppppp