@thechanzo: Akizungumza juu ya mjadala unaoendelea juu ya muungano, Mwanazuoni Profesa Anna Tibaijuka amependekeza, michakato yeyote ya mabadiliko, ianzie katika kura ya maoni juu ya muundo wa muungano.

The Chanzo
The Chanzo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 08:22:41 GMT
16735
722
40
31

Music

Download

Comments

allymswahili
Mswahili Graphics :
Cheo Cha Professor kipo mahala Salama 💯
2026-06-20 16:53:21
15
feso247
feso :
2026-06-21 14:38:11
3
userthe016
eddy :
hongeraa mh that is true
2026-06-20 14:46:52
3
shabaniamrani127
Shabani Amrani :
Jitu Zima ovyoo
2026-06-20 11:09:43
3
miss_maleysah2
user6104522512496 :
kwa uwezo wa mungu serikali 1 hatokuja
2026-06-22 09:58:44
0
cz_medi.com
Muumini Safi :
haiwezekani chao chao halafu chetu ni cha wote
2026-06-20 11:05:48
5
victorkaburus
victorkaburus :
we mama your comfused
2026-06-20 17:22:06
2
mrssubira.shauri
Mrssubira Shauri :
Ubarikiwe mama KUMBE mnajua upande mmoja UNAUMIA😭😭😭
2026-06-20 09:32:43
5
mamag6049
MamaG :
Muungano ulipendelea sana Zanzibar
2026-06-21 09:46:06
2
erickhussein249
NTUZU kaya :
Nakuelewaga sana mamangu
2026-06-20 09:27:48
2
sebastian.ndungur
Sebastian Ndunguru :
kila jambo na wakati wake BADILIKENI VIONGOZI WETU
2026-06-20 09:06:53
0
rockman3936
Rockyman :
Mama yupo Sahihi sana
2026-06-21 08:07:42
1
kinjanjaa
kinjanjaa :
mnafiki
2026-06-20 21:45:31
0
sakama100
SaKama :
Prof kokoooo
2026-06-21 09:56:51
0
rosiehayatta6
Fifi :
Mh kiatu ni italian leather shoe
2026-06-21 14:04:23
0
arachuga2
Mkuludawa :
profesa maandazi
2026-06-21 09:24:07
0
user301859572
Ustadhi Rama Vitambaa :
Duuh
2026-06-21 06:57:08
0
isaacmgaya
isaacmgaya :
Mimi naomba serialised ya Tanganyika tu. Just that.
2026-06-20 14:01:34
1
uiso.barikij
Toncsmation Enginearing Co Ltd :
Mungu akulinde mama prophersor
2026-06-20 10:14:09
1
christianbeatuce
christiannetobetuce :
you deserve mama u r an understanding woman
2026-06-20 10:34:58
2
allyf66
🤡 :
eeee kumbe hawa wa serial moja hawajamalizika tu😂
2026-06-20 16:48:53
1
yagga043
Yagga :
Na Mimi pia ni wa Serikali Moja
2026-06-20 10:50:34
2
user8363949378122
mgagi :
huu upotoshaji wa muungano ni kwa sababu raisi ni mzanzibari
2026-06-21 05:40:49
1
carlosditram
CDL :
serikali iwe moja au 3 lakini 2 ndo hatuwezi elewana
2026-06-20 14:00:20
1
wetson56
wetson :
fact alafu sisi vijana tumesoma maana tukiangalia muungano hatu elewi maana ukija zanzibar Kuna serikali
2026-06-22 09:48:11
0
To see more videos from user @thechanzo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About