@vanillahmusic: Listen to me again hii itakuwa Ep yangu ya pili Mashabiki zangu na wapenzi wa mziki mzuri naamini kwenye EP hii nimewatendea haki kwa asilimia 100% Naomba muda wenu na usikuvu naamini kila mmoja anakwenda kupata favorite song zake kutoka kwenye hii Ep. Let’s connect together #Listentomeagain #Spana
ngoja niwaambie japo haiwahusu,,,, mimi huwa napenda sana nyimbo za vanilla kwa dhat kabisa, sasa makosa yalitokea kwamba napenda huu wimbo ila naanza uweka kwa akili na nipo kwenye penzi zito, nikawa naupuuza bana,,, mbn week isipite nikapigwa tukio😂😂😂 mbn niliushika kwa dk 30. ivo ndo naupenda mpka leo japo tulisolve,, basi shemej yenu ananicheka mpka leo.MAPEMZI🤣🤣🙌🙌
2026-06-20 17:59:26
0
Mamuh :
I'm still waiting 🎵❤️🙌
2026-06-20 14:45:55
2
Lone wolf :
kaka your my favorite artist
2026-06-20 09:01:24
1
@alvni🦋 :
nakupenda San mm shabik wako kindaki ndaki 🥰 mpaka huwa nataniwa na dada yangu 😂😂
2026-06-20 12:45:57
2
Latipha Abdoul :
inatoka lini
2026-06-20 09:40:13
2
user5130447770587 :
umenikosha sana
2026-06-20 11:13:22
1
Sky talaa@sky :
utengwe bro
2026-06-20 17:22:36
0
Dorry_Alikiba :
sawa Dear
2026-06-20 17:02:14
0
˙·٠•A🪲TRACK•٠·˙ :
2026-06-20 15:27:27
0
Gervinho jr10 :
nani aje tupendane 🙏🙏🤭🤭
2026-06-20 08:31:23
0
mfirixt98 :
Tunajuwa hujawah toa Ep mbovu Bg up br
2026-06-20 14:36:46
0
Ellen :
We are connect
2026-06-20 09:26:52
1
HAMIS 👑 :
spanna👑
2026-06-20 09:37:25
2
jenni :
l'm so happy for see you vanilla💝💖💝
2026-06-20 14:38:18
0
••@ℙ𝔼𝕋𝔼ℝ ℂ𝕆𝕃𝔼𝔹ℍ𝕆𝕐•• :
kazi zako kaka safiiii kama pamba.... much love from the capital of Africa (²⁵⁴)
2026-06-20 14:59:03
0
Hiigee🌟 :
King of love ❤️🥰🥰🥰
2026-06-20 14:11:48
0
SAMA TZ :
sawa tumekaa mkao wa kula bro
2026-06-20 09:05:36
0
Trendingwith YB💀 :
Vanilla vanilla vanilla nakuita mara tatu baba yetu ww unajua baba daah niliamini unajua kwenye ile verse inasema kwenye ujenzi wa mapenzi nivumilie misumari ni mingi …….ww utengwe
2026-06-20 16:08:11
1
Fatass Andrea :
2026-06-20 15:27:19
0
Josep Kimson :
kaka kazi yako ipo vizuri yaan playlist yangu imejaa nyimbo zako zaidi ya balance yangu ya acc😅😅... Maisha marefu kaka...
2026-06-20 14:22:51
1
mama yash :
my favorate song and verse pendwaa
2026-06-20 14:28:36
0
✴ 🎀 𝐼𝒯𝒮 𝒱𝐸𝐼𝒩 𝒯𝒵 :
Ilete kaka mwanao sijakusikia kitambo ✌️
2026-06-20 14:29:44
0
To see more videos from user @vanillahmusic, please go to the Tikwm
homepage.