@chadematz: "Said Issa Mohamed amefungua kesi nyingine dhidi ya Chama chetu akitaka kwamba Chama hiki kisimamishwe tusitumie rasilimali tena na kesi inakwenda kuendelea tarehe 23 Juni 2026. Nitoe wito kwa watanzania wote hasa wakazi wa Dar es salaam tufike kwa amani mahakamani kwa wingi, twende tukashuhudie hii kesi." Mhe. Said Mzee Said, Makamu Mwenyekiti Chadema Zanzibar