@momadini_: Wanaume wengi, hawafi kwa sababu ya adui zao; hufa kwa sababu ya maamuzi yao. Usimpe mtu mamlaka ya kuwa mwisho wa maisha yako. Ukiamua kumfanya mtu kuwa kila kitu kwako, usishangae siku akigeuka kuwa silaha yako ya kukuangamiza. Je, unakubaliana na kauli hii? Eleza sababu zako. #MoMadini #fpy #unanitazamausoniunapatapicha #motivation #creatorsearchinsights

Mo.madini
Mo.madini
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 08:31:11 GMT
36605
2710
164
192

Music

Download

Comments

venture_tz043
Venture_tz043 :
hii nondo ni heavy shukran sana
2026-06-21 07:01:58
13
user68679583360103
Iddy Athuman _002 :
noted bro
2026-06-22 15:08:47
1
danishavu
dan :
thank you father
2026-06-20 19:37:51
3
kipchangalkorir
Kipchangal Korir :
ushanena bro✍️👌
2026-06-22 17:23:24
2
samweli.eliasi2
Samweli Eliasi :
umetisha sana mkuu
2026-06-21 18:38:28
5
boaz4393
Boaz@official :
Respect
2026-06-21 06:24:00
1
rweg052000
Mkuu wa Idara :
Bro i have just kept this in my mind
2026-06-21 20:14:14
1
user2242612271065
pappayake mafresher :
muze wabusala🙏🙏🙏🙏
2026-06-22 19:35:00
1
ciabatta52
ciabatta :
Thank you
2026-06-21 20:22:30
1
user47835214710110
user47835214710113 :
saf san
2026-06-22 08:32:02
1
imani.creater
animal🐘 :
safi sana
2026-06-21 08:31:16
3
user80435686615483
baruti mahuba :
pamoja sana
2026-06-21 21:45:09
1
user368128382880forealy
KADEMS FOREALY :
nakukubali baba
2026-06-21 12:35:42
1
maidaadinani656
Maida Adinani :
ahsante
2026-06-21 14:54:46
1
ibu6007
ibra :
Umetisha sana mkuu
2026-06-21 20:34:21
1
ngaro540
sabri :
safi sana mdogo wangu
2026-06-22 10:35:43
1
allytituye
Ally Tituye :
Daaah
2026-06-21 07:34:17
1
necha618
Necha :
umetisha baba 😎
2026-06-21 13:51:49
1
user5135176557995
ABAS :
Mia
2026-06-21 18:02:56
1
zahor.ali4
Zahor Ali :
nakkbali mkuuu
2026-06-21 14:57:09
1
itumbomohere
itumbo mohere :
sffffffff
2026-06-21 18:57:23
1
musasichilima
Musa Sichilima :
Daha 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-21 18:36:22
1
mrmanoty112
Mr Manoty112 :
Lazima nikufollow kiongozi
2026-06-21 18:14:22
1
abbasisharifu1211
AYWAAA ONLINE TV :
Aise shukurani sana sana tena sana
2026-06-22 15:38:45
1
To see more videos from user @momadini_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About