@mwl_wa_wataalam: Be Inspired. Jifunze kwenye mchakato na sio motivation. Much respect kwa @dr_ibrachenza, King of Oviedo. Tuendelee kujifunza na kuwa watu sahihi. #2026CheckPoint
Acheni ku comment negative I knew Dr Chenza kupitia BF SUMA and he’s such a inspirational leader
2026-06-26 19:43:06
5
Alpha :
fact broo
2026-07-12 08:56:29
0
Heart code :
Yeye anajua nn anafanya sema kinachombeba maneno yake yameshibaa anajieleza vzr hata kama anaongea uwongo nyie mtajua ndo mapito kapitia. Sirii yake hadi kufika hapo ni mungu anajua sio kujifunza ni kujituma na kuamuwa kufanya nn unataka sio kujifunza kwake hakuna maana kwa mwingine embu tuache tufanye tuluvyojaliwa kila mtu anarizq yake
2026-06-21 07:43:31
12
mabuyeenterprisem :
network marketing
2026-06-22 06:50:55
2
MMASSY05 :
mimi sijamuelewa vyote nilivyo elewa tu ni kufanya tuu bila uoga
2026-06-20 17:46:51
7
Mariam Rashid :
karibuni nauza mashuka
2026-06-21 05:25:24
9
Liver..# :
zingine nineema msiwachanganye watu 😂😂
2026-06-21 16:09:11
6
Mwili Mwepesi |Punguza Kitambi :
kwanini usipitie mchakato wako tu unaweza kupitia njia yake ukafeli .Maisha ya Mtu ni yeye mwenyewe na Mungu wake
2026-06-21 16:29:32
7
sinaheli :
kujifunza mchakato na sio kuona matokeo
2026-06-21 14:30:00
4
Machinga_FX.. :
network marketing....
2026-06-20 18:32:34
7
mr carter vol 2 :
fanikiwa na wewe
2026-06-20 18:10:50
6
smart boy official :
nakuelewa vibaya mno broo kuliko ulivyotalajia
2026-07-11 19:09:15
0
lihakangajohn :
Picha inaanza kwenye jina kwanza,CHENZA
2026-06-21 07:20:38
6
Chuma Stress :
unaongeaga point bro nakukubali sana
2026-06-21 19:51:50
2
Alen Gacharo :
nimekuelewa,the matter is mchakato
2026-07-08 08:42:57
0
Jerry :
nikweli kabisa bro usemalo,,,mtu yeyote aliyefanikiwa hawezi kuanika wazi njia alizopitia mpaka kufanikiwa
2026-06-22 21:05:37
2
alicedgirldismas :
fact
2026-06-22 06:37:28
2
AFRICAN KING 🤴 :
yeah😁 fact
2026-06-20 13:12:51
5
Hamilix_tz :
my mentor all the time🔥
2026-06-20 18:08:40
6
Abdi Aloisi :
mim najifunza vingi sana kwa Ibrahimu chenza shida ya Watanzania wengi wanaiogopa Network marketing kupitia wachache waliofel wanaaminisha wengine kua nao hawawez ila ukweli nikwamba network marketing inaweza kumfanikisha mtu yoyote alioko tayar kubadilisha maisha yakee
2026-06-21 18:04:50
5
James umeme kariakoo :
wengi wachawi
2026-06-20 14:29:36
6
Shukuru Sanga :
kuna app mpya ya kypima weight unadanlod alafu unapanda juu simu
2026-06-20 17:34:31
6
CHUSSE JR :
me niliacha kumfatilia pale aliposema et yeye awez kutoa hata buku kwa mtu kama ajampa sababu nzuri swali langu je katika halakat zake yeye mpaka anafika hapo ajawah kusaidiwa kitu na mtu
2026-06-22 20:36:14
3
🥷Čadø møø🦅💥 :
🌎
2026-06-21 11:14:43
4
To see more videos from user @mwl_wa_wataalam, please go to the Tikwm
homepage.