@ihsaantv: **KUANZIA LEO UTAWACHUKIA MASHIA (KWA UCHAFU HUU) | SHEIKH YA'QUUB KOMBO** Katika Muhadhara huu, Sheikh Ya'quub Kombo anawasilisha hoja na dalili mbalimbali za Kiislamu kueleza Namna Mashia wanavyozusha katika mwezi wa Muharram,kuwatusi maswahaba,Wanasunnah na kutahadharisha Ummah kushirikiana nao. 📍 Muhadhara ulifanyika Masjid Abdurahman Bin Awf, Majengo – Tanga Mjini. Tazama muhadhara huu kwa ukamilifu ili kufahamu dalili, hoja na maelezo yaliyotolewa na Sheikh kuhusu mada hii muhimu. 🔔 Usisahau kusubscribe, kushare na kuacha maoni yako. #islam #shia #redioihsaanfm102 #ihsaantv #ansaarmuslimyouthcentre

Ihsaan Tv
Ihsaan Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 10:14:27 GMT
516
47
1
4

Music

Download

Comments

user6130235003728
user6130235 :
mashallah
2026-06-21 03:08:48
0
To see more videos from user @ihsaantv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About