@bongofive: Kwa mara ya kwanza Bwana Harusi @jackblingertz ameunguruma huku akionyesha upendo halisi kwa Mke wake ambapo picha ya harusi yao inatrend kwenye mitandao ya kijamii kisa mbwembwe za @sophia_amelowa_official Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongofive

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 10:26:08 GMT
74473
2343
119
366

Music

Download

Comments

tuge341
tuge :
Mungu mpe huyu dada Mume
2026-06-20 15:02:21
220
amjulie30
amjulie30 :
baba nihepushe mwanaume km huyu Aisee 🙌🙌🙌🙌
2026-06-20 15:50:15
112
salmacham
salma :
mume hamna
2026-06-20 15:37:00
39
mamtey89
Imelda :
pole sana dada yangu kwa msiba huu mzito🤔
2026-06-20 18:45:46
22
user9090068835872
salma gadafy361 :
hamna mume hapa
2026-06-20 18:41:01
16
lizybby
@lizybby :
Mungu wa kuongea hivi hpn plz🙏🏾
2026-06-20 15:44:40
18
manqa21936052756
MANKA🫰 :
a few moment later😅😅😅😅😅...
2026-06-20 14:42:07
13
mrs.audax
mrs audax :
😁😁😁Baba Mungu anae ongea sana hivi hapana Baba🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-06-20 15:10:23
18
fettysheka
fettysheka :
Hapa kazi ipo
2026-06-20 17:08:59
10
user90072427761486
Rachel❤️🦋 :
Mungu wangu kwann umeamua kumpa huyu nadada jepu??
2026-06-20 16:17:27
20
madamg867
official G :
hii aibu MUNGU aniepushe
2026-06-20 17:58:47
13
sarahjully7
kichaga sarah :
khaaaaa dada mtu bado mapemaaaa 😥😥 dada ataliaa huyuuuu
2026-06-20 16:14:12
17
jay_line8
jay_line8 :
Hovyo sn😁
2026-06-20 16:14:14
7
queenracheal.0
🌹🌹racheal👑👠 :
Hamna mume hapa khaaaa
2026-06-20 18:44:40
7
roseangel859
ree official🇹🇿 :
amna mume hapo
2026-06-20 19:15:16
6
zilpajosiah
Zilpa Josiah :
Jonasiiiii
2026-06-20 16:55:33
5
queen.david27
Queen David :
🙏🙏mungu mupeuyu dada mume
2026-06-20 15:40:47
9
samwelkitha
kitha sanga :
kibooooookooooo kabisaaaaa😅😅😅😅🙌🙌🙌....misifaa tooooopuuu...Amna kitu
2026-06-20 20:24:28
5
zuryvibes01
zuryvibes 01 :
wahehe oye
2026-06-20 14:40:19
5
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About