hamjambo wakuu... anyone mwenye anaweza pata hicho kitabu Cha utengano, here I am ready to buy it.
2026-06-21 11:20:48
10
Sugut Junior KE :
Musa na maksudi kupatana kwa nyumba ya kazija daaah
2026-06-21 17:34:52
2
bitutu :
maimuna anachukia wanaume lakini anawapenda
2026-06-21 15:56:53
5
JAWEEDS. :
Kuna mengi Kazija anayachukia, kwanza anachukia nafsi yake, pili anawachukia wanaume. Anawachukia eti wamewekwa mbele, ingawa hajui wamewekwa mbele na nani?..
Muone Kazija ........
2026-06-21 08:28:03
7
Shakaimoi jnr :
Kazija alikuwa mwanamke mrembo sana aliyekuwa na uhusiano wa siri wa kimapenzi na Bwana Maksuudi. Hata hivyo, Kazija hakuwa anampenda Maksuudi; alikuwa anashirikiana na Bi. Farashuu ili kulipiza kisasi. Bi. Farashuu alitaka kumkomoa Maksuudi kwa sababu Maksuudi alimtesa binti yake (Biti Sururu), akamnyang'anya mali, na kumtaliki hadi akafa
2026-06-21 09:56:48
6
@uknownymouse :
"Mkamia maji hayanywi, na akiyanywa humsakama." Said A. Muhamed
2026-06-21 21:19:00
1
Martyvne :
Katu asingejitia kibuibui na kutanga na njia.Lo! Kachoshwa na shimiri za baruti anazoshindiwa moyoni mwake.
2026-06-21 06:37:33
5
Anfield :
my favourite back in high school
2026-06-21 10:50:09
3
Ali Abdullah :
mi nataka riwaya ya DUNIA MASHAKA MAKUU
2026-06-21 18:15:04
2
mosesmusungu2 :
nilifanya kidagaa ila nilisoma utengano 2016 na nilitamani Sana kama ningefanya mtihani 2009
2026-06-21 19:51:13
1
engskilonzo :
class of 2009
2026-06-21 17:32:56
1
Guru :
Naeza pata wapi videos za Utengano na The River Between????
2026-06-21 17:32:50
1
Nyukuri Okuna :
this was and still is the best setbook I ever read. ๐๐๐
2026-06-21 13:41:04
1
Chepchos :
i need this book
2026-06-21 08:44:05
1
Sir Ngure :
mandonga poromoka paliishi malkia kwa jina maimuna
2026-06-21 13:02:48
5
wiremaster :
kazija alilala kwa madangulo yani lodgings ilikuwa mbaya
2026-06-21 10:29:27
0
man jeff :
kazija alichukia hadi nafsi yake
2026-06-21 10:17:25
1
buddyluv :
2010
2026-06-21 17:48:04
2
stanleywachira821 :
Kuna mengi kazija anayachukia ,kwanza anachukia nafsi yake....
2026-06-21 14:19:05
3
12th December :
Maimuna weuh
2026-06-21 10:07:07
1
tribalchife :
hiki kitabu kilikuwa kitamu
2026-06-21 13:13:02
1
To see more videos from user @delpato254, please go to the Tikwm
homepage.