@mohamedhafidh_tz: Kama umewahi kujiambia, “Mbona nimejifunza sana lakini bado siwezi kutengeneza project?” basi hauko peke yako. Leo tunaongea kuhusu tatizo hilo na namna ya kulishinda. . . . #coding #fypシ #swahilitiktok #jifunzekitu #programming
Iyo hali inaitwa tutorial hell, kabla sijawa engineer halisi nilistruggle sana kwny ilo eneo, ila dawa kubwa ni kuacha kuangalia video za tutorial, soma vitabu na documentation, jipe project ndogo ndogo, ukimaliza milestone ndogo iongezee uwezo project yako kwa kuipa more features, na kuibuild iwe complex zaidi, errors ztakufundisha sana na kukuonyesha maeneo gan haujawa vizuri bado, usiogope kutokua vizuri, wewe nenda kagoogle error inamaanisha nini fix error sogea mbele, hivi ndivo unavojenga confidence yako kama programmer na kusonga mbele
2026-06-21 06:40:38
2
Adn studio > :
Afu pia DSA ni muhimu sana
2026-06-22 14:46:59
0
That.Guy 🔖 :
Elimu hii hautaipata darasani 🙏🤝
2026-06-20 16:54:20
0
💡✏️📚RICH _ DAD 🌎 :
great
2026-06-20 13:34:05
2
black gold :
me bhn na2mia AI tu ...maana ivi unaeza tengeneze zile code mbk ukamilishe project na ikamilike . .apa bhn
2026-06-20 21:51:31
0
Matsipa Lucianus :
merci🙏
2026-06-22 20:59:11
0
am Mustafa.......🔛 :
kaka me nimesoma Diploma ya records management na ni mwajiriwa....lakn natamani kusoma cyber cercurty lakn naogopa najihis kama siwezi kaka....nifanyeje
2026-06-25 19:36:38
0
Luck :
nimejufunza yote kwa kutumia terimux
2026-06-20 20:04:36
0
F E I S A L Y :
MASTER
2026-06-29 16:05:09
1
echo graphics :
kaka huwa nakufaatilia sana,
Huwa najitahid sana kujifunza programming mwenyewe ila bado sjapata totorial za kunielekeza vzr labd unielekeze sehemu za kujifunza kwa tutorial
2026-06-20 12:14:08
0
ITUTU BEAY :
kaka naomba mlolongo wa kujifunza.... nianze na ipi na nimalize na ipi
2026-07-09 18:41:17
0
LightOne :
Tutorial hell is a bad place to be...
2026-06-28 09:34:42
1
richarddaniel969 :
💪💪💪
2026-06-20 12:21:13
1
MELODIC DRILLING ✨⚡🎶💽 :
💯
2026-06-30 11:04:01
1
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm
homepage.