@alvindevinci_: Kulingana na namna tunaishi duniani, we unadhani kila mtu anafanya kazi aliyotumwa kufanya na Baba au wanakwepa kutenda dhambi zinazoonekana? Tuandikie kwenye comment hapo. #foryou #gospel #kingdomofgod #jesusisking #simawazo
kuna ujinga mwingi sana tumeaminishwa WAAFRIKA afu unakuta ety mpaka tunapigana sisi kwa sisi hatuelewani kisa dini zao kumbe wao wako kimaslahi si tunashindana nani ataingia peponi
2026-06-21 09:09:29
2
~peterson2🎮🏀 :
kwaiyo ukitoa kulihubili Neno la Mungu Kun kazi nyingine surely
2026-06-20 19:18:18
2
no_body117 :
stori za abunuwasi
2026-06-20 17:23:50
0
Masharubu majaliwa :
Nimetikisa kichwa ndio nikaelewa
2026-07-02 18:09:15
0
maick_sk✨ :
UNaelekea Kutoka Ndani Ya Box keep going #Mfumo wa Dunia hautaki tujue vitu hivyo wachache ambao ndo wanajiita smat yaan(mafundi huru)
2026-07-23 14:49:55
0
Pmunisi :
Isaya 53:4-5
[4]Hakika ameyachukua masikitiko yetu,
Amejitwika huzuni zetu;
Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa,
Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
[5]Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu,
Alichubuliwa kwa maovu yetu;
Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake,
Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
2026-06-20 15:03:33
2
To see more videos from user @alvindevinci_, please go to the Tikwm
homepage.