Acha izi nyimbo,babangu alinikimbiya bado sijazaliwa akaenda kuowa mwengine mwanamuke. nilimfahamu nikiwa na miaka 17 .Nimuombeye nini??Mungu Linda mamangu Mpaka mwisho wa duniya.Nakupenda Mamangu ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-06-21 06:44:11
32
🦋momy🦋🌹 :
poleni sana ambao mshazika baba polen sana vipenz vyangu
2026-06-21 09:56:56
17
máśīñðè lavenda :
😔😔when I see u people posting, i fell bad i don't know its becouze wangu alinikimbia or what 😢😢but nisawa tu😔😔😔
2026-06-21 09:33:04
3
EMPRESS🇰🇪 :
wangu mahali ako dunia ifunguke immeze
why allow me to go through this pain of never knowing you or even seeing you hata kapicha😭😭
2026-06-21 10:51:39
2
azmuram :
Asilimia kubwa ya comment wengi wao wameshawazika baba zao, poleni sana vipenzi. 🙏😔❤️
2026-06-21 08:42:47
11
rehema masanja :
jaman me wakwangu alikimbia majukumu ko sion umuhimu wa father's day
2026-06-21 05:55:43
14
Dianakenny :
pumzika kwa amani baba yangu😭😭😭
2026-06-21 07:28:01
9
Gyikee🤩😍 :
🥹🥹 we're is he now🥹
2026-06-20 14:03:02
2
Siane :
wengine walikimbia😭😭😭
2026-06-21 11:53:34
0
Becca Beckxy :
labda wababa wazan
2026-06-21 10:49:49
0
precious ✨️ :
dah mungu akulinde huko uliko hakuna wa kuziba pengo lako Baba angu 😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-21 00:53:40
7
Calister Lawisso :
Wapumzike kwa amani Baba zetu walioitwa na mungu! Na akina baba waliopo mungu awape heri na upendo kw familia zao.
2026-06-21 10:12:37
2
it's beautiful 🫶 :
MUNGU akupumzishe mahali pema baba angu♥️
2026-06-21 07:51:00
3
BBM UNDERWEAR :
wakwangu alikimbia
2026-06-21 09:19:36
1
Witness Msuya Julius :
Baba yangu pumzika kwa amani 😭
2026-06-21 10:30:44
2
Neema :
mama daima🥰 same story here
2026-06-21 08:19:11
2
Virel💕💕😜 :
Happy father's day to all fathers across the world
2026-06-21 07:25:38
1
Pure Ngash :
My baby daddy aliniacha coz nlishika ball n ilikua time y lock down bt God has been faithful finally life imejipa
2026-06-21 14:14:06
0
agapengitao7 :
pumzika Kwa Aman Baba yangu😰😰😰
2026-06-21 07:48:46
1
UNLIMITED💫BLESSINGS :
Happy Fathers💙💙💙 day to all responsible father's. June.21.2026 😁😁😁Blessed
2026-06-20 15:55:13
1
Babe Evanna ❣️💞 :
nilitamani kupost hii nyimbo lakin hakuna alichofanya kwangu...nafurahia uhai wake tu huko aliko japo hana mda na mm
2026-06-21 08:07:59
1
THUWAYBA ❤️ :
🥰🥰🥰🥰🥰🤲🤲🤲🤲brother kaimba 🤲mashaallah
2026-06-21 01:25:48
2
Sheila nyagoha :
2026-06-21 18:43:26
0
Maureen Roghart :
nakupenda sana baba yangu mungu akupe maisha marefu sana baba yangu
2026-06-21 20:15:16
0
Rethy :
na kuna wale wenyewe hawajuiii kitu kuhusu baba maisha yanatofautiana sana
2026-06-21 17:50:27
0
To see more videos from user @joelkilumile03, please go to the Tikwm
homepage.