@flashfilmpro24: Tunakuletea video hii inayomuonesha Balozi wa Mkuyu Africa, Clemence Mwandambo, akifurahia na kucheza wimbo wa Happy wa Diamond Platnumz kwa nguvu na furaha kubwa. Mkuyu Africa ni kampuni inayonunua nyumba za zamani, kuzivunja na kujenga maghorofa ya kisasa, kisha kuuza vyumba kwa wateja wanaotaka kumiliki sehemu ya uwekezaji huo. Baada ya kukamilisha malipo, mteja hukabidhiwa hati halali ya umiliki. Tunajivunia kutengeneza maudhui yanayobeba ubora, ubunifu na ujumbe wenye thamani kwa jamii na biashara. Kwa huduma za Video Production, Commercial Ads, Branding, Photography na Social Media Content, wasiliana nasi kwa namba 0623656562 #VideoProduction #MkuyuAfrica #ClemenceMwandambo #DiamondPlatnumz #Happy #YouTubeShorts #ContentCreation #Videography #Tanzania #Shorts #Trending #RealEstate#creatorsearchinsights #trendingvideo #viralvideotiktok
flashfilmpro24
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 15:30:32 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @flashfilmpro24, please go to the Tikwm
homepage.