majambazi watu wenye roho mbaya wanaishi vizuli sana sijui kwa nn mungu halioni hili jamani mapito niliyo pitia naomba mungu anibaliki anitoe kwenye haya mateso
2026-07-04 17:37:12
3
user478168436357 :
ndo maana me nilishaa achaga hizo mambo
2026-07-05 16:11:27
0
Faith Makau :
same dear but one day yatafika mwisho
2026-07-06 10:13:04
0
user38585238234 :
kama umenigusa mim jaman
2026-07-04 13:45:19
3
Kasim mukhtary Murji :
yan kweli kabisa mungu ndio anajua hatima yetu
2026-07-07 02:36:43
0
ISACk EDWARD :
yaani wewe acha tu
2026-07-04 16:07:43
1
user3158538156344 :
uyo nimim kabisa
2026-07-06 20:37:04
0
Ashula :
kweli kabisa ndivoilivo sijuwi nikwann tu jaman
2026-07-06 19:33:28
0
T Eliam :
Mungu atutangulie sote tuu sawa mbele zake๐๐
2026-07-06 19:06:12
0
HD Magari Dismas :
daaaah eeweee mwenyezi mungu tuko na roho nzuri lakini tunaishi na maisha ambayo magumu sana, anakuja mtu unamsaidia Alf anakuzunguka anakusaliti anakusema mabaya eeewe yarabi ww ndyo ulieumba mbingu na dunia ebu tukumbuke na sisi mbna wenye roho mbaya hanafanikiwa kwann sisi tunasaidia lakin hutupi baraka kwa nn kwann mungu
2026-07-06 18:15:09
0
Tunu Masudi :
du imeniumiza sanaa
2026-07-04 08:44:23
1
Agness Mwakyomo :
Acha ty
2026-07-05 13:45:30
0
paskazia๐ฅฐ๐ฅฐ :
we acha tu!!!
2026-07-02 14:26:39
0
Grace Andrew Mashaka. :
nkwel kabxaa ๐๐
2026-07-06 19:24:56
0
user1676638114520 :
acha tu ni mbayaa
2026-07-04 08:40:59
1
butuge :
inaniuma sana mm jamn
2026-07-06 19:47:35
0
princess p&j :
hakika
2026-07-06 19:11:47
0
mamu Akeh :
kabisa yaan
2026-07-04 16:29:03
1
LC 300 Series :
real
2026-07-07 05:48:25
0
Nancy Mghenyi :
100%
2026-07-06 21:46:30
0
esta :
ni kweli
2026-07-07 03:51:54
0
mohaadpoizcaptain :
eee banaeee twapitia sana aiseee ila mwisho wa siku mungu pekee ndo hutulipia na kuturejeshea furaha tuilyo ipoteza awali kwa ajili watu baki.
2026-07-06 15:02:30
0
Mama chii fashion :
hakiamungu ๐ญ๐ญ
2026-07-06 14:41:12
0
Maria Moree :
hpo ni kweli
2026-07-06 14:01:05
0
Madam Vee :
ukweli mtupu dada
2026-06-20 15:51:48
0
To see more videos from user @blesseddaughter6, please go to the Tikwm
homepage.