@abduli066zanzibar1: Msikilizeni sheikh kutoka Tanganyika akimwaga ukweli kuhusu chuki za baadhi ya Watanganyika wachache (Wakristo) dhidi ya wazanzibar kisa ni Dini yao ya kiislamu ..namnukuu sheikh .Watanganyika Wakristo wanawachukia wazanzibar kisa imani yao ya kiislamu ...na alisisitiza Zanzibar ipewe heshima ni nchi sio mkoa ..Tafadhali msikilize upate manufaa ..We want our sovereignty from Tanganyika Do or die..