@chandolaptops: ```Mwanangu ninayetazamana nae kwenye kioo, hajawahi kunipinga..``` Tunafichiana sana siri, machozi yangu yanamuumiza pia. _Nikikata tamaa anakufa, akiishia njiani Mimi sifiki popote._ Tumekubaliana tupambane sana, maana maisha ni asilimia mia jukumu letu ~ Chando ✊