@butterflybeescosmetics: 📌Tomatine tube ni nzuri sana na inakufanya Unaglow vizuri 📌kuna wale wenye weusi wa shingoni na usoni ambayo ngozi ya mwili haifanani na uso nikimaanisha unang’aaa sana mwilini alafu usoni umefubaaa hiii ni nzuri sana 📌Inaondoa madoa sugu na chunusi usoni 📌‼️hakikisha unatumia sunscreen ili kulinda ngozi yako ya uso ili izidi kuwa laini na glass skin #tomatine #evenskintone #fyp #skincare #cosmetics