@shoespointdar: Maboresho yamekamilika rasmi. 🙏 Pole sana kwa wale mliotembelea duka letu na kukutana na changamoto ya kukosa huduma au usumbufu uliojitokeza kutokana na maboresho yaliyokuwa yanaendelea. Tunawaomba radhi kwa usumbufu huo. Maboresho haya yamefanyika kwa lengo la kuboresha mazingira ya duka na kuwapa huduma bora zaidi. Tunawashukuru sana kwa uvumilivu, ushirikiano na imani mnayoendelea kutuonyesha. Kesho Jumapili tutakuwa wazi kama kawaida na tupo tayari kuwahudumia kwa mazingira mapya na huduma bora zaidi. 📍 LOCATION YA DUKA: 🛍️ Kariakoo – Mzimbazi Polisi ➡️ Ukifika Mzimbazi Polisi, ulizia Msikiti wa Idrisa 🕌

shoespointdar
shoespointdar
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 18:10:24 GMT
189
7
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @shoespointdar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About