lakini tuseme tu ukweli 💯 mbele ya Mungu kutoa Ruto 2027 ni ngumu sana chenye najua hii kenya watu wengi wanapenda pesa na Ruto anajua hilo sasa ngojea 2027 atatumia hizo na atarudisha hapo tu
2026-06-20 18:43:12
6
kipsjeths 254 :
sasa ruto ndo anapanic kweli...🤣🤣🤣🤣you joke alot
2026-06-20 19:09:14
9
Fikir :
Wamepanick vibaya sana. Intel inasema kutawaka and they know Kenyans hate this government.
2026-06-20 21:07:42
2
mwembe :
finance bill imepitishua.ama bado.
2026-06-20 19:05:51
2
ABDUL RAHMAN :
Nani alikuambia gava inaweza kuwaogopa😂😂
2026-06-20 19:13:41
3
Evance Omolo :
tutam🔥🔥✌️✌️
2026-06-20 18:38:50
3
kata hiyo tenje :
Sisi tuko kwa mambo ya kukumbuka gen z wenye wqlikufa kwani tuko na haja nao kweli?Ni nini tunawaomba🤔
2026-06-20 21:16:47
2
Edwin Otieno Ogendo :
na hatuendi mandamano 😂😂
2026-06-20 19:03:13
2
faith :
wa huko thika...pia..
2026-06-20 20:59:18
1
Fai fai 🫦 :
Ati panic 😂😂😂😂😂
2026-06-20 19:47:16
1
cjay_254paps :
they can't kill of us...
2026-06-21 03:31:09
0
🪷Caroline Mwangi 👑 :
Duale afungwe, he’s a threat to Kenyans na who regime ya Kenya kwanza
2026-06-20 19:53:13
3
Bobodreadz :
Where were all these people during Kisumu massacre when Jomo Kenyatta killed innocent Luos in Kisumu
2026-06-21 06:52:50
1
maeria Numero uno :
it's a tactic by the government to intimidate protestors 😂
2026-06-21 01:56:20
0
KENYA DIGITAL MEDIA :
someone define PANIC?😂
2026-06-20 20:08:51
1
Bryanphaby :
the way government giving threats, read their languages, mar kuchoma magari, mara maduka, mara court, that's exactly what they advice their goons to do, so that they will blame opposition
2026-06-20 23:12:35
0
Teso icon #Beth :
wanaenda home
2026-06-20 18:42:17
0
Kevin12 :
but it's true, demonstration will be in certain areas
2026-06-20 19:05:45
1
kenargwings :
whatever they say or do, it's WANTAM
2026-06-21 09:04:58
0
Majesty :
God is simply showing kenyan's what happened before during and after 2007 :who has evil plan's who stole elections who can't win fairly who use's violence who lies and most importantly how they lead when given power.Sifuna should head the senate let people do what they are best at kenya is in a mess,ketu jicho.
2026-06-21 02:42:27
1
Kandita Kelly :
juzi Ruto alisema maandamano ni constitutional right ila leo haitaki
2026-06-21 06:27:49
0
Black Coffee :
We're not going to the streets period
2026-06-21 05:39:34
0
BeyondTheMicroscope :
Shauri yao…..Wantam ni Lazima
2026-06-21 01:01:52
1
To see more videos from user @abbiezuena, please go to the Tikwm
homepage.