@baba.b725: Hii inauma sana sana #tanzaniatiktok #tanzania #fypppppppppp #foryoupage #fyp

Baba B
Baba B
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 18:42:46 GMT
97416
6634
277
273

Music

Download

Comments

omary.omary781
Omary omary :
jmn tuwakumbuke wazazi wametutoa mbali Mungu mjalie afya njema mama angu
2026-06-22 07:30:53
20
user2185454079452
Joseph John :
HAKUNA KAMA UPENDO WA MAMA NAOMBA MUNGU WANGU MLINDE MAMA ANGU
2026-06-24 19:44:49
4
mabo_wa_mabonge
MabowaMabonge :
big up my momy love you so much my dear momy
2026-06-25 09:53:23
0
victorlucas378
victorlucas378 :
mama ni mama atabaki kuwa mama tuwaheshimu wazazi
2026-06-23 09:42:41
9
bokeelias393
eliah :
mungu atusaidie sana sisi tunaopamban tuwakumbuke wazaz wetu
2026-06-21 13:30:03
10
maycosebastian340
Mayco :
mama ni kweli au pole mama i love you mom
2026-06-23 18:22:44
3
user9055881841096
giftdarlwin :
daaaah tulio ishi maish hay tujuane ila mm naipenda San familia yangu mungu azid kuwawek wazazi wangu wale matund ya nchi
2026-06-23 14:28:16
3
paul.peter503
Paul peter :
Mungu awe pamoja nawe Mama yeti mpendwa
2026-06-22 04:34:05
4
edithaemanuel86
Edither Emanuel :
next
2026-06-23 06:02:23
0
richardchigwiye
richard :
jaman tukumbuken wema wa mama zetu Jamn mungu mbariki mama angu aje aonje hata matunda yangu
2026-06-24 06:13:01
1
user7820883652992
Emmanuel saulo :
mungu atusaidie tunao enda kupat watt
2026-06-23 19:48:50
2
fina.luoga
Fina Luoga :
ninaumza san
2026-06-23 20:46:07
0
sholakibena
Shola Kibena :
next
2026-06-21 20:57:30
0
salome.samson41
Salome Samson :
inauma san jaman mungu akupe nguvu na ujasili
2026-06-21 18:01:11
3
yoronimomartini0
mathias boy🫵🏻🔒 :
duuuh! hapa ni kama nimepata funzo. shukran kwa kutumbusha🙏🙏
2026-06-22 11:15:11
1
baba.b725
Baba B :
hii inauma sana jamani
2026-06-20 19:00:13
7
barakarichard44
fiesta :
kama umetowa chozi kama Mimi like hapa📍
2026-06-21 19:18:57
7
user6252140286387
philipcourtinho :
daaah inauma
2026-06-21 21:15:32
1
elizabethniima299
Elizabeth Niima :
daaaah nmelia sanaaaaa
2026-06-20 20:03:20
0
user7079421381912
adla# :
mung atuepush na hili sem amin
2026-06-20 19:59:11
2
user3860081498144
shynes joshua :
jaman daaah inaumiza saan
2026-06-21 15:04:24
3
benitolotti
Benito Lotti :
da mungu walinde wazaz wangu nipo kwajil yao
2026-06-24 18:08:45
2
user530933878624
Steve klispin :
wengne hatna roho kama ya jamaa hyu
2026-06-21 21:47:36
2
zephaniamsilanga
Zepha M :
duh,, mungu niepushe san na ya ulimwengu nsije siku moja likanikuta hili nkakukosea ewe muumba wangu
2026-06-23 17:23:23
0
hamzaabdallah793
hamza :
jaman izo content umnatuumiza sana dah niatali sana mungu tuwepushie maisha ya namna iyo dah
2026-06-23 16:10:35
0
To see more videos from user @baba.b725, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About