@mwana.omar1: BAYTULKHAYR MUSLIM GIRLS Tunapendezesha nyoyo kwa imanii na tunajitowa kwa halii na malii, Allah atulipe kheir kwa hiki kidogo tulichokitowa Kwa kuraji malipo kutoka kwakwe 🤲.Allahuma Amiiiin @UKHTY HAMIDA @hunie-isher😊❤️ @El-Sirili🥰 @Hasinah dutch🧕🦋 @Fefe🦋