Ukisujudu utasema maneno haya mara ×3
"Bismillah lladhi la ilah illahuwa
'Alimul ghaybi washahada ar-rahman rahim
Allahumma adhahab 'anni hammi wa huzni"
2026-06-20 19:31:24
61
😘 :
unakichwa kizur mashaallah
2026-07-07 21:29:34
4
said chui :
Allah,is above all.ya Allah,tufungulie kwenye maisha yetu nauwe mlinzi wetu na maisha marefu kwa uwezo wako wewe ya Allah,Ameen,ameen,ameen,😭😭😭🤲🤲🤲.
shukrani sana pia somo ya Bismillah mara 17 imenisaidia kwa mwanangu shukrani sana sheikh
2026-07-14 04:22:40
1
Alima Hemedi@mamy✨❤️💋 :
asalam aleyikum warahmatullah wabarakatuh.kila ninapokuona tiktok huwaga najiskia furaha sana.nakupenda sheikh kwa ajili ya Allah
2026-06-30 18:57:23
2
ziyad :
jazzakallahu kheri
2026-06-26 13:35:20
1
MTOTO EDDY :
sasa unaswali alafu sijda ya mwisho ama ukishatia udhu unakaa kwa mswalla na kusujudu direct ama huwa unaswali kwanza
2026-07-02 12:16:52
1
asnath69_Stara tunapendeza :
Alhamdulillah nimepata kitu
maashallah
2026-06-20 19:59:25
2
Zeyda Zeyda :
🥰🥰shukran
2026-06-21 21:46:00
1
RAMADHAN :
shukran shekh nimepata darsa zuri sana, japo nafanya kwania ya kuwa motivate rafiki zang wa karibu kuwa na wao waamke usiku kwan Allah anajibu ukimlilia Allah
2026-07-03 06:55:08
3
isilai hija :
ostaz nimependa kofia umechukulia wapi
2026-06-21 13:44:56
1
alisuleiman843 :
thank you
2026-06-23 08:00:12
1
neemasenya :
kwahy hata ndani kwangu kwenye mswala wangu naweza kuiomba hiyo sujudu?
2026-06-21 14:44:29
2
Ibrahim Haji :
Masha Allah, YaaRabby wape kheri watu hawa, uwajaalie neema uwaneemeshe, uwajaalie barka uwabariki, uwajaalie rehma uwape rehma zako, umfungulie milango ya kheri Shekh wetu na watu wake. Aamin
2026-07-10 11:55:56
1
Hadija Ibrahimu :
AMN
2026-06-23 02:02:35
1
rukia mnzava :
mashallah
2026-06-22 08:27:00
1
AYAZ MALIK :
ok inshallah 🙏
2026-06-20 19:46:47
1
Moise Mussa Bin Mussa :
asanté
2026-08-01 21:02:40
0
Tatu ibun :
mm som la ya Allah imenisaidia
2026-08-07 16:27:05
0
Benny :
anaejua aniandikie hayo maneno please
2026-08-08 22:49:04
0
ahmatar2023 :
shukran sheikh
2026-08-06 21:33:20
0
bint mohamed :
shukran.allah akulipe kheri
2026-08-05 09:47:53
0
ISMËL DUMANZABO :
amina sheikhe
2026-08-05 07:02:23
0
mai :
alhamdulilah
2026-06-21 17:10:47
1
To see more videos from user @jawaabtv, please go to the Tikwm
homepage.