@lilymediaa: Basi kampuni ya Maning Nice inayofanya safari zake kutoka mkoa wa Dar es salaam kwenda Mkoa wa Ruvuma na kusababisha majeruhi kwa abiria waliokuwemo katika basi hilo. Kufuatia ajali hiyo, Kamanda ACP Banga amefika katika Hospitali ya R ufaa Mkoa wa Njombe kuwajulia hali majeruhi hao. Sambamba na hilo, Kamanda amewataka madereva kuendelea kuzingatia sheria za Ajali hiyo inahusisha basi la kampuni ya Maning Nice linalofanya safari zake kutoka mkoa wa Dar es Salaam kwenda mkoa wa Ruvuma, na imesababisha majeruhi kwa abiria waliokuwemo ndani ya basi hilo. follow for more updates #yangasc #lilymedia #simbasc #maningnice #trendingviralvideo

lilymedia
lilymedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 19:59:55 GMT
203968
7930
196
331

Music

Download

Comments

anither_465
iam_anie🦋🥰 :
asantee Mungu amna aliyefariki jmn Mungu awaponye wote wenye majeraha
2026-06-21 06:18:54
90
user292825815146
Dullahtz@ :
michezo iendelee
2026-06-21 03:26:46
24
user4943921150134josehp
Joseph :
poleni
2026-06-21 08:26:26
4
mwanahawamajimot1
Mwanahawa Majimoto :
mungu awasaidie wapone jamani 🙏🙏🙏🙏
2026-06-21 05:08:34
20
eckii88
eckii88 :
MWENYEEZI MUNGU MWEMA San hakuna aliye farikiii🙏
2026-06-21 10:00:41
10
ramadhan.mweta3
Ramadhan mweta :
alhamdulinlah mungu ashukuliwe kuwaepusha na vfo
2026-06-21 07:46:38
12
shadrack.haule5
Shadrack Haule :
poleni sana wasafiri wenzangu
2026-06-21 06:21:48
8
mwaluvondo2000
Mwaluvondo 2000 :
siyo finyu SEMA mbovu inamashimo sana tuwe wakwel mbona madeleva jayina watetez wakat mwingine
2026-06-20 23:44:20
10
ramadhan.juma303
Ramadhan Juma :
Polen sana Mwenyewezimungu mwingi wa Rehma wajalie majeruhi wote afya njema na balaka katika maisha yao 🙏🙏🙏
2026-06-21 12:37:10
5
officialcolly
officially curyde :
duuuh poleni jamn mungu Awaponye🥺🥹
2026-06-21 05:28:11
12
annajohn2500
annajohn :
pole san
2026-06-21 11:02:47
1
user4673528467862
BabyNey🥰🥰 :
mungu atunusuli sisi watafutaji tunao safili kila mala
2026-06-21 05:32:18
8
kilasbenja
Quiver :
mamaeee walikuja bila kulogaa
2026-06-20 21:57:31
6
rojey.boy
Rojey Boy :
daah polen sana iso Kona sa njombe me najua vizur tu 🙏🙏
2026-06-20 22:05:47
12
chimom46
rosemary :
poleni jmn😭😭🙏
2026-06-20 20:55:45
8
jovinmwenda0
KIJANA XMART💥🚛🚛💶 :
juzi Leo Tena
2026-06-20 21:51:40
5
auntkillera
aunt killer :
aisee polen san
2026-06-21 10:27:10
1
ameenatanzania
ameenatanzania :
Polen family
2026-06-21 13:55:23
0
naive507
naiver :
maning nice 😭🥲why always u
2026-06-21 05:36:19
9
prayer4020
R.A.P.H.A.E.L :
Asante Mungu kwa kutosikia taarifa ya mauti🙏🙏
2026-06-21 17:23:02
1
user803725979085
[email protected] :
sante mungu
2026-06-21 15:04:44
1
user97446000283592
Hassan kalele % :
20/20 NALIPA 🙏🙏🙏🙏 %
2026-06-21 06:41:02
4
user3655291967238
juniory DI :
Asante mungu kwakuokoa ndugu zetu ninampango wakwenda nyumban ila baba ukanitangulia
2026-06-21 09:22:26
3
mkunzi.mdugutryphone
tryphone silla :
Ni muda wa watumishi wa mungu kuliombea taifa ajari zimezidi
2026-06-21 08:55:30
4
uborakwanzasourci
UBORAKWANZASOURCINGAGENT🇹🇿 :
hiyo Kona ni noma, Dereva alikuwa mgeni wa njia
2026-06-21 05:35:43
2
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About