Allah atujaalie mwisho uliomwema na turudi kwake haliyakua ameturizia na Awape kheri na kuwaondolea adhabu za kabri wote waliotangulia
2026-06-21 06:30:26
6
Suda the mamy :
kullunafsi dhalikatulmauut 😢😢
2026-06-21 08:45:25
2
hadija :
amiina 🤲🤲
2026-06-21 09:25:43
0
pilikhamis0 :
yarabbi tujalie mwisho mwema na walio.tangulia uwape kauli sabiti amin
2026-06-21 09:06:48
0
didah ramsy :
innalillah wainna illah rajiun Allah awape kauli thabit marehem wote waliotangulia mbele za haki na sisi mwenyezi mungu tunakuomb utujaalie mwisho mwema amiin