@lilymediaa: Replying to @1msandawe4 Wakati wa UHAI wake Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, alipotoa wito wa amani Wakati wa kuelekea Kwenye UCHAGUZI mkuu wa 29, October. Kwa mujibu wa taarifa, Abwao amefariki Leo Hospital ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matatibu, atakumbukwa kwa kudumisha amani katika maisha yake ya utumishi wa umma. follow for more updates #lilymedia #simbasc #yangasc #abwao #trendingviralvideo
lilymedia
Region: TZ
Saturday 20 June 2026 20:24:50 GMT
Music
Download
Comments
michåel_deødath :
mungu utatuuwa na hizi baraka
2026-06-21 05:39:07
324
momobabe😍😘 :
Pigia yesu makofi🥰
2026-06-21 04:40:19
290
van magoli :
over 0.5
2026-06-21 12:02:03
3
𝕕𝕦𝕝𝕝𝕪 32 :
mbon kam alikuwa mwemaa tuu
2026-06-21 07:32:31
88
Brandy :
Mungu mbona baraka zinazid baba yetu endelea kutubariki
2026-06-21 06:32:25
120
Tygha Nchang'wab :
pga makofi kwa mungu jaman
2026-06-21 09:49:15
58
stanley :
kwendaaaaaaaaaa
2026-06-21 04:37:27
43
majidmohamed40 :
namuomba mungu akuraze MOTONI maisha yako yote Amina
2026-06-21 11:07:23
34
Asina Mussa :
baba asante kwa hivi vipapatio tunaimani siku Moja utatupa vidari
2026-06-21 19:02:05
23
thommyg05 :
mungu katufurahisha
2026-06-21 08:33:13
15
DiahQuan :
Baraka za kipekee Sana hizi🙏🙏🙏🙏
2026-06-21 10:53:09
23
Jacob :
Mungu 🥰 kabla ya 77 fanya kakitu kwa watesi😁
2026-06-21 14:22:31
10
paschal mkama edward :
haaaaaaa tunao soma komenti tujuane !
2026-06-21 17:46:10
9
josephtesha00 :
tumshukuru MUNGU kwahiki kidogo pia jamani 💯💯
2026-06-21 14:38:32
12
Hugobeth Mbaule :
poleni sana kwa familia
2026-06-21 08:15:50
5
jimcruz joooh :
nipate pepsi
2026-06-21 04:47:52
1
MR BROKEN 45<> :
daah hii family 45😢😢
2026-06-21 10:59:15
1
Israel jacob 我是谈砸年 :
no comment 😂
2026-06-22 15:06:25
0
@S5opn :
eee mungu Asante kwa hizi baraka
2026-06-21 11:28:55
10
kemege.tz :
Mungu asante kwa hiki kidogo
2026-06-21 05:20:04
28
Rubeni 2000 :
hongera sana mungu Kwa kutoa hizi mwabwa
2026-06-21 07:38:39
35
Denis Minja :
Asante Mungu Kwa Hichi Kidogo
2026-06-21 06:20:09
23
ellar67676 :
Mungu unalipa kwa wakati na umetimiza salama 🙏
2026-06-21 09:45:29
9
kibindamark :
mungu ikikupendeza afwate n mwingine
2026-06-21 06:35:06
14
MJUKUU :
Moja kwa Moja jehanamu MUNGU thibitisha hilo
2026-06-21 09:39:15
10
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.