@miraculolopa: Wa BURUNDI ambao mpo Kenya kujeni hapa  #burunditiktok🇧🇮 #kenyantiktok🇰🇪 #burunditiktok🇧🇮 #rwandatiktok🇷🇼 #MUSWARUNDI

UMUSWARUNDI 😇
UMUSWARUNDI 😇
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 21 June 2026 05:30:09 GMT
14298
936
207
60

Music

Download

Comments

marciask212o22
@marcia's :
kabisaa hatuna shida na wenzetu ila wasituchagulie viongozi
2026-06-21 17:55:22
27
susan.karanja6
fire momma :
good advice ila umesahao kuwaambia wakipewa kazi wasikubali pesa za chini kuliko wenzao
2026-06-21 20:10:36
4
user4924480779365
king epitom :
tusiwaone kwa election plz plz
2026-06-21 19:56:06
10
tonny.clizz
Tonny Clizz :
bro waambie pia wawache kuchukuliwa kw bei ya chini man wanafanya sisi wenyeji kukosa kazi sasa yani kazi kama ya mjengo n mia sita(600) ila wao wanaifanya kw mia nne ambapo sisi wenyeji hiyo mia nne n kidogo mnoo tafadhali tukikasirika na wao wasituone wabaya santi
2026-06-21 18:23:47
10
mohamed.rashid851
Mohamed Rashid :
Una sema kun wengne wamechelewa eti ..
2026-06-21 18:26:02
3
dal_728
Dal🦅 :
Hatuna shinda na waburudi,but siasa za wakenya tuanchie
2026-06-21 19:33:41
2
user7361066843382
Dan Teh the engineer🥰 :
umeongea vizuri
2026-06-21 18:16:56
8
userkengeboy3
kangboy busyness :
brother tutaenda wasijali lakini Mungu yupo nimewasoma myaka8
2026-06-21 20:57:32
1
godfrey03kanumba
Godfrey :
thanks bro
2026-06-21 20:39:54
1
user146312781913
user146312781913 :
wasijaribu kupatikana kwa kura zetu
2026-06-21 21:16:22
3
samuelkeya293
KEYA 🫴🇰🇪🌍 :
we ndio Ume bonga Kitu bro 👉 siasa ni Yetu Sisi wakenya hatutaki Kuwa fukuza kama South Africa we Fanya kazi wache Sisi Tutengeneze Kenya 👉🇰🇪 Thanks 👍 to took
2026-06-21 16:45:41
8
trustmax92nd0
director max :
ushauri mzuri lakini mbio nayo mtakimbia
2026-06-21 19:39:41
1
user7616318818711
Levy001 :
hapo umenena bro
2026-06-21 17:21:34
4
user4345807618800
𝑺𝒎𝒊𝒕𝒉 Ø𝑮1234 :
Asante sana ndugu yangu!sisi tuko hapa kenya mambo ya siasa hatujali nayo ss nikutafta maisha yetu ikipatikana turudi kwetu.hapo tunasingiziwa kwamambo hio sisi hatujui siasa yao inaelekea wapi kitu naona tu kwa muburundi Let's keep strong together kwakutafta turudi kwetu
2026-06-21 13:28:53
5
abdallayassindiesel
Abdalla Muhamed :
good advice, to maintain and meditate
2026-06-21 19:30:49
1
wenwa
Wenwa :
Hongera ndungu
2026-06-21 19:12:27
1
user6813526071022
Bernard254 :
ni hivo brother very good
2026-06-21 15:27:01
2
user27769297162265
Jay jules barutwanayo :
very well
2026-06-21 16:00:21
1
user4336157251948
David Davief :
kweli brather
2026-06-21 18:22:33
3
ericknduwimana745
Erick Nduwimana :
asante
2026-06-21 15:23:53
1
silaskaniala2
silas kaniala :
ushauri mzuri sana bro
2026-06-21 19:22:18
1
kalemu75
kalemu74🇰🇪 :
Waambie tena na tena vizuri and let it sink well well 😊
2026-06-21 21:11:49
1
user1568836120681
joshua543🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
hongera kwa maogezi mazuri🥰🥰🥰
2026-06-21 19:07:35
1
nelsy5632
Nelson (Issah❤️) :
respect brother 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪waambie
2026-06-21 19:23:26
1
diellashurwe
Diella :
kbx
2026-06-21 16:12:58
1
To see more videos from user @miraculolopa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About