@vitarcaretz: Kumbuka: Si kila mwenye Hepatitis B huhitaji dawa za kuanza mara moja, lakini kila mwenye Hepatitis B anahitaji ufuatiliaji wa kitaalamu na vipimo vya mara kwa mara ili kubaini hatua sahihi ya matibabu. #creatorsearchinsights #LiverCare #AfyaYaIni #foryou #villl