@bongofive: Muandaa maudhui @kiredio_ amesema kwa miaka 3 akipiga hesabu ametumia zaidi ya Tsh Mil.200 kwaajili ya kuandaa content ambazo zimempatia umaarufu mkubwa na kubadilisha maisha yake. Una maoni gani?

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 21 June 2026 06:36:13 GMT
150406
7073
42
57

Music

Download

Comments

g.one0646
G one :
nyie mneamin kuwa Amna Kaz isiyo na mtaji
2026-08-20 04:37:45
2
don.kika.money
young msafi .🇹🇿 :
mi mwenyewe kwamwezi natumia milioni 1.5
2026-08-19 23:29:51
4
ochoa_builders
HJM GLOBAL HOLDINGS LIMITED :
kama fala
2026-06-21 09:44:38
5
paschal601
official paschal :
iraha wabongo Hatujambo 😂😂🙌🙌🙌
2026-08-19 16:23:11
1
archangelfree
Glossy Hands :
Tag TRA
2026-06-21 12:44:43
2
user72551192661902amara
Amara godson :
ila watu mna siri
2026-08-19 19:10:11
1
jescachao5
jesca@ :
Wh watu wana hela
2026-08-20 09:37:38
1
user255684132622
Joha_pips_tz :
🤣🤣🤣 mwenzio anahongwa mil 100 kila siku huko🤣
2026-08-19 21:14:47
0
tumaini.samweli0
tumaini samweli :
jamaa yuko real Sana
2026-06-21 18:21:15
9
madmox438
MARTINEZ-$ :
yes inawezekana
2026-06-21 14:59:57
3
champion_de_la_cluger
mom's icon 😜🔥 :
@TRA
2026-06-21 13:24:08
0
niconico56195
niconico :
ukweli kabisa kk
2026-06-21 12:29:04
0
ran718684
ran :
anavyo zitaja kama 😃
2026-06-21 08:27:57
3
khamomi_19
Khamomi_19 :
Kwani vlog zinasaidia nin
2026-08-19 09:47:45
0
tumaini.mashimba
Tumaini Mashimba :
Tunaoiona jumapili tujuane
2026-06-21 08:01:02
6
semajilawaha0
semaji la waha :
mbona sisi hizo hela hatuioni na tunapambana kila siku bala balani kiledio nakukubali sana unanichanganywa hizo hesabu
2026-06-21 20:24:54
3
hillary_dean
Hillary ✨️ :
amewapa tra maelekezo yoooʻooʻte yani imebaki demand notes
2026-06-21 14:09:05
2
user255684132622
Joha_pips_tz :
kwan kushuti ni bei hivo🤣
2026-08-19 21:19:27
0
bamfe6
bamfe :
hizo kazitoa wap wakati anataka hiyo kazi ndo iumpe hela
2026-08-19 22:42:55
0
dotcomvillage
Dotcomvillage :
baba Huwa anawekwa kwenye wazazi...ila mama Huwa anawekwa kwenye mzazi...
2026-08-20 05:53:27
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About