jamani naombeni mnisapoti mm mchekeshaji๐ฅน๐๐๐ฅน
2026-06-22 07:58:18
5
Babu mk :
We unae soma coment hii najuw kuwa unampend mtu ambae hakupend ๐๐daah noma sana ๐ข
2026-06-22 09:42:42
3
Obed Nzowa :
Hata mtangaze sim gan lakin mm na SAMSUNG forever ๐๐๐๐
2026-06-21 12:27:48
13
ฤวฤวลวลคลคร๐ฉโค๏ธโ๐ฅ :
@ฤวฤวลวลคลคร๐ฉโค๏ธโ๐ฅ: @ฤวฤวลวลคลคร๐ฉโค๏ธโ๐ฅ: : Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-06-21 08:05:32
3
chazy tz โ :
sina hata rafiki ๐ข
2026-06-21 19:31:57
3
luyaya ๐คช๐ :
me na mama yangu๐๐
2026-06-21 08:46:07
6
Netto Pascont :
ultra tumuachie nani๐๐
2026-06-21 15:36:37
0
Nezia Joseph :
mimi na wewe
2026-06-21 19:09:36
2
sulewasafi :
yasini swafih
2026-06-21 10:59:36
2
lululivingstone3 :
Shenfield mwenyewe๐
2026-06-21 17:49:37
2
Erick Esrael :
sh ngapi
2026-06-21 09:32:33
3
To see more videos from user @chiefkyando, please go to the Tikwm
homepage.