@paza_sauti_media: Mchekeshaji Andrew Ngonyani maarufu Braza K, amelikosoa Bunge akilitaja kuongoza kwa utoaji wa taarifa pasipo mpangilio wala utaratibu kuliko bunge zote ambazo am,ewahi kuzishudia akiomba mabadiliko zaidi wampe mualiko ili awasilishe hoja hiyo Bungeni. "Tokea nimeanza kuona Mabunge, hili linaongoza kwa taarifa. Mtu anaongea kidogo 'taarifa mheshimiwa' yaani ni taarifa taarifa mpaka lini jamani? ebu jadilini vitu vya msingi acheni mtu aongee" amesema
Paza Sauti
Region: TZ
Sunday 21 June 2026 07:29:05 GMT
Music
Download
Comments
SHIMBA KUYI :
Taarifa brother k Taarifa
2026-06-21 09:35:31
381
Omar :
wanakera sana
2026-06-21 10:51:49
174
🚫 EllyKp 🚫 :
Sigrada
2026-06-22 01:54:21
0
Miss pink💖💞 :
Brother k taarifa✋……….😂
2026-06-21 10:11:05
41
Evans tarmo :
ukweli unaochekesha
2026-06-21 11:39:52
66
Massawe :
katika siku umeongea asee mkuu ni leo wanafanya vitu vya ovyo sana
2026-06-21 12:08:09
54
theresiangoitanil :
sasa wasitaarifiane jamani
2026-06-21 08:43:07
67
Fridatemumasaule :
Nikajua ni mm Nimeona peek yangu jmn
2026-06-21 11:25:05
36
Utajua Hujui :
Sikuwepo sijui kitu wowote kwenye hii taarifa ya habari
2026-06-21 12:45:40
20
Serhaworld🦋 :
😁😁😁Kweli
2026-06-21 08:54:02
47
nana tz🦋❤️ :
😂😂😂😂😅🤣nimejikuta nachekaa tuu
2026-06-21 10:59:03
9
Mme :
urikuwepoooo urikuwepoooo urikuwepoooo oooooooooooo
2026-06-21 18:57:12
5
Desmond David :
da. TAARIFA.
2026-06-21 12:29:25
6
Donald :
wanakela
2026-06-21 12:48:56
9
GOROGOSI 💪 :
ILA KWELI BHANA
2026-06-21 12:14:10
5
⚠️T.O.X.I.C☣️ :
taarifa brother K,
2026-06-21 17:14:10
0
Susu Masalu Susu :
good point ☝️
2026-06-21 17:34:34
0
jermia julias :
Wana taarifiana
2026-06-21 09:25:08
13
Ally Naheka :
point sana hyo
2026-06-21 16:13:52
5
Edward Rughe :
Leo ndo umeongea ukweli br k
2026-06-21 11:48:23
12
mc sindwendwe :
brother k taarifa
2026-06-21 11:24:15
7
mchungaji Paulo chamajibu :
Leo umeongea kwa uhakika brother k
2026-06-21 13:06:45
6
Popah👩🐬 :
Bro K taarifaaaaaa
2026-06-21 11:34:17
6
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.