kwani hakukuwa na camera man hio ujue ni ilikuwa bonge la movie😂😂😂😂
2026-06-21 11:38:57
13
rahmasenga :
poleni
2026-06-21 17:34:37
0
kaamuanda :
aliondokaje na slaha?! kwn mlikua mmelala??
2026-06-21 10:59:57
15
Kasa Shabanl :
hana ubinadamu silaha ni bora kuliko mtu angeuwawa je loo
2026-06-21 12:56:05
8
katwe :
kila kazi inachangamoto zake
2026-06-21 15:50:58
3
Lenze :
Nikweli Nyati(mbogo) ni mnyama hatari sana. Tena mlikuwa na bahati sana, huyo huwa ni mzee wa mashambulizi . Ukipona ni jambo la bahati. Mimi nimeishi karibu na Lake Manyara National Park kwa muda mrefu. Ni mnyama mwepesi na mwenye speed ya hali ya juu.
nyati na yeye alikuwa amejipatia silaha simba wasingemsogelea😂😂😂
2026-06-21 12:42:04
7
Emanuel Lyimo :
Huo ni Moja ya kutokuwa makini ndio maana Mr Nyati akaamua kuimiliki silaha ila naamini wakati mwingine haitojirudia maana ingekuwa Tembo tunge zungumza mengine
2026-06-21 11:12:26
0
user Gemin :
Huo ndo ukomavu wa kazi
2026-06-21 13:38:08
1
Neema :
poleni naipenda kazi iyo lakin duu
2026-06-21 11:45:11
0
Embimbitchye :
aisee nimecheka vibaya mno,kama mimi ndo ningekua huyo afande ningedhani kuwa mmeporwa silaha na jangili aitwaye nyati🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe jambo lisilo la kawaida lilitokea
2026-06-21 14:35:43
1
Festo , com :
poleni sana kamanda napia ongeleni kwa ushindi
2026-06-21 17:16:08
0
Ibrahim Mungure :
aliekuwa na silaa mzembe
2026-06-21 16:57:55
0
Immer17 :
ila nyati 😂
2026-06-21 16:54:26
0
Immer17 :
ila nyati 😂
2026-06-21 16:54:26
0
To see more videos from user @uhuruonline, please go to the Tikwm
homepage.