@siri_za_vitabu_: Kwanini kuendesha biashara kwa KAMPUNI ni bora kuliko kuendesha kama mtu binafsi? Unaanzisha biashara kwa majina yako binafsi bila kujua hatari zake. Ukifanya biashara kama mtu binafsi, deni la biashara linaweza kuwa deni lako binafsi. Mali zako binafsi kama nyumba, gari au akiba zinaweza kuwa hatarini endapo biashara itapata matatizo. Ndiyo maana LLC (Limited Liability Company) ni muhimu. ✅ Inatenganisha mali zako binafsi na mali za biashara. ✅ Inakulinda dhidi ya madeni na madai yanayoweza kujitokeza kutokana na biashara. ✅ Inaongeza uaminifu kwa wateja, benki na wawekezaji. ✅ Inarahisisha ukuaji wa biashara na kuvutia washirika. KUHUSU FAIDA ZA KIKODI NITAZUNGUMZIA KATIKA VIDEO IJAYO… Tumia kampuni kama ngao ya biashara yako. 📚📚📚📚📚 Ingia YouTube andika na u-search “Siri za Vitabu”. Itatokea channel yetu kisha bofya SUBSCRIBE uwe mwanafamilia wa Siri za Vitabu. Pia bofya alama ya kengele ili uwe wakwanza kujuzwa tunapo pakia vido mpya. Ndani ya channel hii tutakua tukifanya UCHAMBUZI WA VITABU, pia tukizungumzia BIASHARA, UWEKEZAJI, UHURU WA KIFEDHA, UCHAMBUZI WA MAKAMPUNI, SHERIA na vingine vingi vya kukujenga.
SIRI ZA VITABU
Region: TZ
Sunday 21 June 2026 09:03:11 GMT
Music
Download
Comments
Amina mena :
Asante sana
2026-06-21 17:19:39
0
johnkadono :
shukuran sana
2026-06-21 11:09:54
0
To see more videos from user @siri_za_vitabu_, please go to the Tikwm
homepage.