@bbcnewsswahili: Je, unavaa viatu ukiingia ndani ya nyumba au unavua mlangoni? Ingawa kwa baadhi ya watu ni suala la utamaduni na mazoea, wataalamu wa afya wanasema tabia hiyo inaweza kuwa na athari kwa usafi na afya ya familia. Kiuhalisia tu kila siku viatu hupita kwenye barabara, vyoo vya umma, bustani na sehemu nyingine zenye uchafu. Mwandishi wa BBC Nasteha Mohamed @naste6295 na taarifa zaidi: #bbcswahili #foryou #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 21 June 2026 09:33:46 GMT
122396
2978
26
636

Music

Download

Comments

jojo_perfume
Jojo_beauty _touch :
Uisilam haukuacha kitu 🙌🙌🙌🙌
2026-06-21 11:26:57
49
user3477162550023
user3477162550023 :
safi sana
2026-07-09 20:23:26
0
deograciasbaka
Deogracias Baka :
Mimi navua mlangoni
2026-06-21 14:19:48
1
shufowyuleyule
shufowyuleyule :
Wasteland M
2026-06-23 18:51:40
0
derickezrah
D.E.R.I.C.K :
nina viatu vya ndani mwee
2026-06-21 10:53:42
3
ubatan5
Zanzibar :
mimi navuwa viatu
2026-06-21 12:06:03
1
mydaughter126
kelvinhamis2015 :
mim navua viatu
2026-06-21 11:57:34
1
storyzaguru
STORY ZA GURU :
Nyumbani kuvulia nje ni lazima
2026-06-21 09:40:33
5
akwilina.mbaza
Akwilina Mbaza :
Malekani hakuna uchafu tupe mambo ya sayansi
2026-06-21 15:21:40
1
user3257329149079
naila juma :
uislam nadhfu 🤲🤲🤲
2026-06-22 02:38:05
2
sheikh.mohamed.bi2
Sheikh Mohamed bin ladden :
sisi waisilamu huvua viatu
2026-06-21 15:11:40
3
vigema2020
vigema :
na hamsomi maoni yetu tunapo andika
2026-06-21 12:38:32
1
catherineoyugi178
Catherine oyugi :
vyangu tunawachana hapo nje ya mlango
2026-06-21 16:43:50
0
baredugal
شازية :
nimeanza kutembea mguu tupuu wiki moja sasa Alhamdulillah nimeona tofauti kubwa
2026-06-21 18:42:34
0
lidarwambo
LIDA RWAMBO :
je kanisani😳
2026-06-23 15:11:06
0
jamalzungu1
Jamal Zungu :
hukuti mwisilam anaingia sehem yeyote ya ndani na viatu
2026-06-21 21:40:19
0
nayallycolectio1
🇵🇸نعيمة🇹🇿 :
al islm nathwifu🥰🥰🥰🥰
2026-06-22 18:58:37
0
moganjosephat17
Mogan jose :
kw mlango lazima kama tamaduni kuvira viatu ndio Bora zaidi 💯
2026-06-21 10:53:06
1
victoria.anthony92
Victoria Anthony :
mm mwenyew spend mtu anayevua viatu ndani
2026-06-21 16:30:11
0
user25633417767137
user25633417767137 :
Navua mlangoni
2026-06-22 01:16:50
0
godlovegodlovesti
KILIMANJARO PLUMBING SERVICES :
🔥🔥🔥
2026-06-21 12:46:25
2
emerita0262
emerita :
🥰🥰🥰
2026-06-21 11:08:32
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About