@_zuzaism: Part 107 | Tunazungumzia jinsi kila kitu unachohitaji tayari kipo ndani yako kama energy na frequency. Tunaeleza kwamba hakuna mtendaji wa nje - ego yako ndio inakuaminisha kuwa kuna kitu cha kufanya kwa nguvu za kimwili. Tunakuonyesha kwamba kila kitu kipo tayari katika ulimwengu wa roho kama Infinite information, awareness na consciousness. Kazi yako si kukitafuta au kukipigania, bali kuchagua kile unachokitaka kulingana na energy unayotangaza. Tunajifunza kwamba physical reality yako inaonyesha matukio kulingana na picha ya ndani unayotangaza - kama sumaku inayovuta frequency inayolingana na yako. Tunakukumbusha kwamba hakuna kupambana, kuna kuji-align tu. Tunakukumbusha kuwa kazi yako ni kuwa mtazamaji mtulivu katika Awareness State bila hofu, hukumu au mashaka. Hii ndiyo real freedom - kuacha kulazimisha mambo na kuwa mtambuzi wa frequency yako. #creatorsearchinsights #zuzaism #Frequency #vibration #lawofattraction
mambo haya angeyazungumza moodewji au Dangote au Elon musk ningekuelewa...fanikiwa kwanza ndo uje utueleze haya
2026-06-25 09:51:48
3
Francis Fidelis :
🙏which book are you reading now bro
2026-06-21 16:16:17
1
tuntu tuntu :
hivi vitu unavyoongea ni vigumu sana kwa watu, cjui kama watu wanakuelewa, maana watu wanapenda mambo mepesi😊 ila hongera sana tuko pamoja
2026-06-21 14:08:21
11
🌻SOUL ALCHEMY🌻 :
deep Informations
2026-06-22 13:55:11
2
Wanjiku njau :
The power of awareness 💯💯💯..
2026-06-21 12:29:53
3
issa :
tutazitumiaje hyo frequency na hyo energy
2026-06-26 06:06:02
2
Rujaina Fadhili :
sasa nawezaje kupata vitu vya rohoni
2026-06-22 19:40:22
2
Andrew Steve :
Umesimea wap
2026-06-22 08:46:12
2
QUEEN OF THE WORLD :
you are genius, I like u already.
2026-06-24 12:49:27
1
felix :
Asante sana. nimeelewa
2026-06-22 04:38:07
1
Yujini :
duuu ni ukweli lkn napat shida kupata utulivu bro
2026-06-21 19:18:06
1
Shabani Sekuba :
ninashukuru
2026-06-21 20:08:55
1
4ycaxela :
true
2026-07-10 12:47:17
1
John GK :
even the kingdom of heaven is within you
2026-06-23 05:50:11
2
Frank Jumbe official :
universe=matter+energy, and when you talk about energy, simply you talk about frequency so, in the life frequency is everything, THANK YOU SOO MUCH
2026-06-24 11:09:59
1
ROYAL SON NYANTABA :
Kaka unanisaidia sana kuamka kiroho kila nikikusikiliza asante sana
2026-06-22 18:24:36
1
Sam01 :
Vipi kuhusu mtu ana matamanio ya kufanya labda kilimo na hufurahi sana lakini unakuta anafanya kazi tofauti kabisa. Hii ikoje katika mfumo wa Energy na frequency zake
2026-06-24 11:31:57
0
MdeeInteriorBackup :
This man
2026-06-21 21:40:18
1
Faiza Kessyb :
thank you 🙏
2026-06-21 19:54:13
1
Bazijal @# shax :
hadi kushinda mikeka ipo ndani mwangu
2026-06-24 15:24:39
1
Godfrey Raphael/Gtwins :
masikini huzumgumzia energy isiyoweza kuwasaidia hata wao
2026-06-25 09:53:04
1
jack :
i am the soul ,the mind is my temple ,once i command my mind as the soul,the whole body listens and follows
2026-06-26 03:38:04
1
tinhandojr :
lets go wake up to reality
2026-06-22 07:29:08
1
joseph msonga :
uo ndo ukwel
2026-06-21 17:41:36
1
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.